Mimi ni mtu wa aina gani?

mkuu hata maboda boda,au pale kwa mangi au pale restraurant mimi niko hivyo ila huwa nahakikisha kuna watu natengeneza ukaribu nao.Sema nina mpango wa kubadilika mwisho wa mwezi ujao tarehe yeyote hata 28.
 
Habari wana jamii forums.

Twende moja kwa moja kwnye mada.

Mimi ni kijana wa rika fulani 20-30 ni mfanya biashara.

Sababu zilzonifanya niandike huu uzi ni kutokana na maisha ninayoyaishi mpaka muda mwingine najikuta najishangaa na kujiona ni kama mtu wa ajabu

Iko hivi kwa kipindi changu chote huwa sinaga marafiki, watu wangu wa karbu especially ninaoishi nao mtaa mmoja wanajitaidi sana kujenga urafiki na mimi kwa kuja nyumbani na kunijulia hali mara nyngi ila mimi binafsi sinaga hali hiyo ya kusema niende kwa rafiki kumtembelea hata kama yuko karbu na mm. Mpaka sasa nina marafiki wawili tu ambao niko based nao kwa upande wa nyumban yaani mtaani ambao naweza kwenda mahala pao ama kuspend some areas with them ila wengine ote waliobaki ni kuwasalimia kwa salamu tu njiani bac

In short ni kwamba sina tabia ya kujichanganya na watu yaani marafiki ,niko radhi nikae ndani kutwa nzima.

Sabubu ambazo nimejaribu kuchunguza na kuziona kwangu ni kwamba. ''huwa napenda sana kukaa mahala tulivu especially alone'' pia huwa najikuta mtu ambaye nakua interested naye ni yule ambaye namuona anakitu ambacho kinaweza kuwa na mchango kwangu kwa kifupi ambaye ni mfanya biashara pia.

Sifuatilii KITU CHOCHOTE .
Sifuatilii mpira
Sifuatili ngumi, kuogelea ,basket wala mchezo wowote ule katika huu ulimwengu.

Kilichinileta humu ni mnisaidie niweze kujitambua kwamb mimi ni mtu wa aina gani? Huenda labda bdo cijajitambua bado wapendwa
Naombeni msaada wapendwa huenda siko sahihi kwa haya maisha ninayoishi....
unajichua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom