Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

Mediaty

Member
Aug 10, 2023
23
24
Hello!

Matumaini yangu hamjambo kabisa.

Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua.
Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya;
  • Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu nilio wazoea.
  • Sipendi kampani (napenda kukaa peke yangu)
  • Nina ndoto kubwa, hasa za sanaa ya mziki na maigizo na uandishi
  • Nipo single, sababu naogopa mahusiano ya mchongo. I need serious love
  • Napenda Horror movies
  • Nasoma pia horror novels
  • Sipendi mikusanyiko au sehem zenye watu wengi
  • Sio msafi sana wala mchafu (normal)
  • Siamini sana kwenye issue za dini, japo nina uelewa juu ya ukiristo
  • Napenda kuproduce kuliko kufanya mimi (mfano; kuproducia watu nyimbo instead mimi niimbe, kudirect kazi sanaa kiujumla japo talent ninazo)
-Mpira na siasa sipendi kabisa
  • Nikitongoza mdada akakataa siwezi msumbua tena
  • Sitaki kuajiriwa na yeyote au kua under some one. Lakini sipendi uongozi
-Sina marafiki wengi.
  • Nawaamini watu haraka, hivyo najikutaga nakopesha hela hawarudishi na silaumu wala kuwawazia mbaya. Naonaga kama ni akili mbovu na malezi
  • Mwisho, sifurahii kuishi Africa, natamani niende Marekani then nikatimize ndoto huko ili kazi zangu ziwe international
ASANTENI SANA
 
Comments zinaonyesha namna tulivyo na taifa la watu wa hovyo.

Wenzetu hizo changamoto wanazichukulia kawaida tu na wana experts kabisa wanao somea hayo mambo na wana saidia sana jamii ila bongo mtu akieleza ukweli wake anadhihakiwa ama kutukanwa.

Pole sana brother, hili ndilo taifa letu kuwa mvumilivu tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe msaada wako kwa mleta mada uko wapi?
 
Comments zinaonyesha namna tulivyo na taifa la watu wa hovyo.

Wenzetu hizo changamoto wanazichukulia kawaida tu na wana experts kabisa wanao somea hayo mambo na wana saidia sana jamii ila bongo mtu akieleza ukweli wake anadhihakiwa ama kutukanwa.

Pole sana brother, hili ndilo taifa letu kuwa mvumilivu tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo bado hujamsaidia mtoa mada
 
Hello!

Matumaini yangu hamjambo kabisa.

Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua.
Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya;
  • Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu nilio wazoea.
  • Sipendi kampani (napenda kukaa peke yangu)
  • Nina ndoto kubwa, hasa za sanaa ya mziki na maigizo na uandishi
  • Nipo single, sababu naogopa mahusiano ya mchongo. I need series love
  • Napenda Horror movies
  • Nasoma pia horror novels
  • Sipendi mikusanyiko au sehem zenye watu wengi
  • Sio msafi sana wala mchafu (normal)
  • Siamini sana kwenye issue za dini, japo nina uelewa juu ya ukiristo
  • Napenda kuproduce kuliko kufanya mimi (mfano; kuproducia watu nyimbo instead mimi niimbe, kudirect kazi sanaa kiujumla japo talent ninazo)
-Mpira na siasa sipendi kabisa
  • Nikitongoza mdada akakataa siwezi msumbua tena
  • Sitaki kuajiriwa na yeyote au kua under some one. Lakini sipendi uongozi
-Sina marafiki wengi.
  • Nawaamini watu haraka, hivyo najikutaga nakopesha hela hawarudishi na silaumu wala kuwawazia mbaya. Naonaga kama ni akili mbovu na malezi
  • Mwisho, sifurahii kuishi Africa, natamani niende Marekani then nikatimize ndoto huko ili kazi zangu ziwe international
ASANTENI SANA

Oyaaa,nani kaona SERIES love?
 
Wewe ni Immature young man...
Haujaweza kuishi kwenye uhalisia..
Uko kwenye fantasies still...
Uliposema unatamani kwenda Marekani inaonesha kabisa umeathirika na TV na mitandao...
Marekani unayo ijua wewe ni Ile ya kina Will Smith ya TV na filam...
Itakuchukua miaka kama 10 au zaidi kuweza kujua uhalisia na kuweza Kwenda Sawa na uhalisia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom