Mimi ni mdada natafuta mchumba

Jan 9, 2013
39
30
Habari zenu wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani.

Napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida.

Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye hitaji kama langu .

Asanteni.
 
Mwaya mie nikuombee tu MUNGU ajibu haja ya moyo wako....nimeshaoa but ningeweza kuku-consider
 
From Analogiz to Dijitoliz mambo msagulano ongeleni wana bei jing huu ndio uwazi ukweli utafata baadae

Dada nina hakika wewe unajiamini na napenda kukutakia kila la kheri uko mbele ya mabazazi
 
hahahaha ahahaha digital bwana ina mambo rahisi kwenye maisha kama hapa
najichukulia wife kilaini ngoja nikupim ili tumalize hili suala bwana..........
 
Baada ya kutumika vya kutosha sasa ndo unakuja hapa jamvini kuwashika haya makubwa jamani!
 
twakuombe mungu akusaidie.

Kama ni Mkristo au wa dini yeyote ile mtumaini Mungu, soma Biblia:


Mithali 19:14 "Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kutoka kwa babaye bali mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana'

Kwa MUNGU: mume mwenye busara mtu hupata kutoka kwa Bwana, maana yake Mungu ndiye anayehusika na kumpa mtu mke/mume. Mungu pekee ndiye anayejua nani ana busara ya kukaa nawe. Kwa kila jambo kuna majira yake hivyo hata wewe kuolewa kwako kuna wakati wako maalumu. Mungu hatumii njia au mfumo wa aina moja katika kukujulisha wewe mwenzi wako.

Mungu anavyo vigezo vya kwake ya kukupa mume ambavyo si lazima viendane na vigezo vya kwako.
Si kila mke au mume hutoka kwa Mungu. Mungu anapoamua kukupa mke au mume anakuwa ameangalia mbali kuliko wewe unavyofikiria.

USIKATE TAMAA, ENDELEA KUOMBA MUNGU UTAPATA MAJIBU KIPINDI KIKIFIKA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom