Mimi na wewe...

hahahahahhaha haya sijui tumpeleke kwa mchina..
maana jinsi alivyokuwa feki dahhh inatisha...
nampigia kimya kuanzia sec hii.
.
0014.gif

Rudia swali labda atapatia this time, akikosea ujue next ni habari ya mshahara, gari na nyumba anavyolipia pesa nyingi.
 
Hahahaha!!! Si unaona AD nilikwambia kwa Lizzy lazima kama sio kumtoa ndukii Enjo basi atalazwa nje

Hahahaha. . . .
Sasa katajifunza vipi kuheshimu sebule kama hakajui barazani panakuaga na baridi usiku?
 
Aaaa unajua siku zote watu wenye fujo fujo kama sisi huwa ndo tunabahatika, tunapata wanawake wametulia na hawana shida.

Yani Mungu wewe wacha tu anavyo nipenda...Thanks God.

LUCKY you. . . .POOR them!!
 
Back
Top Bottom