Mimi Mkisto nikila hadharani Zanzibar nitashitakiwa kwa sheria gani?

Nafikiri kukuta mtu anakula au watu wanafanya biashara ya chakula ni mojawapo ya majaribu ambayo unatakiwa kupambana nayo katika kipindi hiki cha mfungo so kukuta mtu anakula au anakunywa au anfanya biashara ya chakula just ignore it na uendelee na mfungo wako. No sweet without sweat. Take it easy guys.
 
Kwani katika hali ya kawaida wati wanakula wapi na kwa namna gani? Kwamba nikienda restaurant nikila nitakuwa nimemkosea nani?

Sielewi maana ya hii kwani wanafunga kwa ajili ya mtu au kwa ajili ya mungu wao? Kwa nini unihukumu mimi kwa kula wakati siamini unachoamini. Kula kwangu kunaathiri nini funga ya mwingine kama mimi sijamshawishi au kumlazimisha kula? Mimi nadhani ukiwa umefunga ukiona mtu anakula na ukashinda ile hamu ya kula ndio utapata thawabu kwani kama ukishinda hamu ya kula ni rahisi pia kushinda tamaa nyingine za mwili. Je Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
 
Me nadhani wachangiaji wote hatujamuelewa muanzisha mada.

Swali la msingi ni sheria gani itakayotumika kumuadhibu Mkristo atakayekula hadharani? suala sio utu, ubinadamu kwamba eti wenzangu wote wamefunga na mimi nijitie kufunga wakati nina kiu? nchi hii inaongozwa na sheria i hope same to zanzibar, tutajiwe hiyo sheria ili tuijadili tuone kama bado zanzibar itastahili kuwa katika muungano (kwa kuwa ni wadini) au laa.

Wakristo kibao wanafunga kila day wakiwa bna maombi yao maalum kwa Mungu na hakuna anayejua. Kufunga sio matangazo bali ni toba itokayo moyoni kwa mtu binafsi kwenda kwa Mungu, in reality hata mke/mumeo unayelala naye kitanda kimoja hapaswi kujua kama umefunga.

Nishachoka na hawa wanaobadilisha ratiba ya chakula (kula usiku na kukaa bila kula mchana) huku wakisema wamefunga na kuwalazimisha wenzao wasiotaka kubadilisha ratiba ya kula wasile. non sonse.
 
This is not a point to argue, Tuna matatizo makubwa, wabunge wanapokea rushwa kubwa, madaktari wanagoma, waalimu nao pia, pamoja na matatizo mengine mengi ya kitaifa na kimataifa, wakati huo huo, Mkuu wa kaya yuko kimya, kana kwamba nyumba haina baba, Kula au kutokula siyo kipaumbele kwetu. Waache wazanzibari waamue mambo yao wenyewe, wala wasituchukulie muda kuwataka wahusika wa rushwa bungeni kujiuzuru. shinikizo letu liendelee.
 
I wish you knew what this means? Listen my guy, no one is prohibitted to attend a Chadema rally wearing CCM colors (clothes etc) but you know what that means!! Its just common sense. Some things dont have to be law for them to be implemented like I gave an example of Ciggarete. Is it for someone to vomit on a car seat? Its not bad, its someones right to vomit, cool? But by so doing you annoy other people. There is no law that says we should (must) take care of our parents? Show me! But most of us in Africa understand it has been part of our learnings and we continue doing it. FUNGUKA! Sio kila kitu lazma kiandikwe kwenye sheria, just practical common sense.
 
Well articulated. On top of that bloggers have to understand and appreciate that Zanzibar is a sovereign state with its National Assembly, President, National anthem ...etc. Islam is the most iconic cultural landmark for Isles.
There is something called “Makruh” in Islamic. Its basically doing something which is not forbidden but in a way that it disturbs other people. You are a Christian so you have a right to eat but you should look at Zanzibar from an angle that its guided by Islamic principles. Not everyone smokes so you have no reason to smoke in public. Its simple. Buy your food or drinks and sit somewhere private and eat. You can eat in your house, your hotel room, inside your car etc. Problem is you want to buy a big bugger and a coke, stand at michenzani facing those flats and show everyone that you are eating yet majority of the people are fasting. That’s Makruh
 
Mbona hapa mtaani kuna akina mama lishe wamefunga ramadhani lakini wanatupikia na kutuuzia chakula cha mchana?
 
............, nitashitakiwa kwa sheria ipi?

Au suala ni kuogopa jazba ya Wana Harakati? Polisi watanilinda kwa mimi kula wakati wa mfungo wa Ramadhani?

Nchi yetu Tanzania haina dini, Zanzibar au Tanzania bara, sivyo?
.
Hapo kwenye red hakuna sharia zaidi ya kuchapwa bakora!
 
wewe hutaki kuelewa, haijatungwa sheria kumkandamiza asiyekuwa mkristo kwa kuwa waislamu wamefunga basi asiyekuwa muislamu asile hadharan na sio kwamba ananyanyaaswa, hata italy wengi ni roman catholics so hata utamadun wao wa maisha asilimia kubwa umegubikwa na utamadun wa kikatolic.

Sawa MBISHI, Huko Italy unakokutaja umeshasikia wakati wakristo wanafunga basi wasio wakristo hawaruhusiwi kula hadharani??? Ni dini inayotumia maguvu tu ndiyo itamlazimisha asiye mwenza wa imani hiyo aitwe kila jina baya na kushurutishwa kuenenda pasi uhuru. Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo, imani ni utu wa ndani wa mtu unaomwezesha kuwasiliana na Muumba wake kwa uhuru na ukweli. Utakatifu haujlazimishwi kutoka nje ya mtu, bali ni utashi wa mtu binafsi kuchagua aamini nini na kwa namna gani ili aweke uhusiano wake na Mungu wake katika uzuri unaokubalika na Mungu. Walio wa Mungu wanajulikana na Mungu PEKE YAKE. Ni mtoto mdogo tu anayeongozwa kufuata mafunzo ya wakubwa wake au walezi wake.
 
mi nadhani suala la msingi hapa ni asiye muislam kumheshimu na kutambua ibada ya jirani yake aliye muislam na vivyo hivyo kwa asiye mkristo kuheshimu mienendo ya kikristo maana tumeamrishwa sote kuwapenda jirani zetu ili tuwe wachamungu amri hii haikubagua imani flani, hata hivyo tafsiri ya jirani haiishii kuishi nyumba za karibu bali utashi wa kujitahidi kutowakwaza wengine kwa vitendo vyetu, kwa maoni yangu si vyema masuala haya ya imani kusukumwa na hisia za ubabe na jazba maana hata wakati wa kipenzi chetu mtume wa mungu issa bin mariam( yesu) walikuwapo watu wasio wakristo na mungu aliwapa kibali cha kuishi vile vile hata kipindi cha habib nabii wa mungu muhamad(saw) walikuwapo wakristo naye aliwatendea haki, bado naamini wanadamu wa sasa tunaingiza ushabiki katika mambo ya imani ndo maana kila kukicha ni taabu tu, je si fahari kumtendea wema mgeni wako ili kesho ukalipwe ujira mwema ?
 
why dont you try to make love in public anywhere in the country in broad day light??????

you wrong and very wrong you citation is incompactible with what is being discussed here.
Is it our usual habit to make love in public? The answer is "no"
but is our culture to eat in public, then which provision of law or article of the constitution prohibit us from eating at public as usual during ramadhani period?
 
396935_467212653302908_242092645_n.jpg
 
Nimesoma maoni ya wengi kuhusu mada niliyotoa. Kama alivyochangia mmojawapo wa wana JF, sijaona yeyote akiniambia ni sheria gani inanikataza kula, au kufanya iwe kosa mie kuwa na mgahawa Zanzibar na kuendelea kuhudumia wateja ambao hawahusiki na mfungo wa Ramadhani.

Nafikia hitimisho kwamba kuna ukiukaji mkubwa wa uhuru wa ibada na haki za raia wa kawaida huko Zanzibar kwa watu wasio waislamu wakati wa mfungo wa Ramadhani. Labda kuna siku hili suala litachukuliwa kisheria, na hata kufikishwa mahakama ya katiba, ili tuone ukweli uko wapi, na kuwaachia magwiji wa sheria waamue. La sivyo sioni sheria yeyote ya kikatiba (katiba ya Jammhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo Zanzibar ni sehemu yake) inayomzuia mtu kufungua mgahawa na kuuza chakula wakati watu wengine wamefunga huko Zanzibar, au kuingia hotelini na kuagiza wali kwa kuku wakati wengine wamefunga Ramadhani.

Lakini mimi kama Mkristo, litalichukulia suala hili kwa busara, nikikumbuka kuna wakati Yesu alikimbia ili kuokoa uhai wake dhidi ya waliotaka kumdhuru kwa sababu za kidini, japo alijua alikuwa na haki. Na pia uamuzi wangu utazingatia maneno Yesu aliyotamka kwamba "kuna wakati watu wataua watu wengine kwa madai kwamba wanamtumikia Mungu". Nadhani busara ni kukaa mbali na watu wa namna hiyo. Period.
 
Nimesikia na huku tanganyika wameanza na bakora kwa akina dada kwa maagizo ya mungu. Wanaacha kuutumia muda wa funga kufanya toba wanakesha wakizunguka mitaani kutafuta wadada wa kuwatandika bakora ili wapate thawabu. What kind of religion is this!

It is not Religion but well formulated madness targeting weaker minds
 
Nafikiri kukuta mtu anakula au watu wanafanya biashara ya chakula ni mojawapo ya majaribu ambayo unatakiwa kupambana nayo katika kipindi hiki cha mfungo so kukuta mtu anakula au anakunywa au anfanya biashara ya chakula just ignore it na uendelee na mfungo wako. No sweet without sweat. Take it easy guys.
kuna mtu niliwahi kumsikia akisema kuwa ili uwe Padri inakupasa usioe.
Sasa hili suala wengine wali take advantage kwamba kama ana matatizo ya uzazi akimbilie huko ili 'kujificha'. Na kwa sababu Kanisa lilistukia/lilijua hilo, nasikia wanaanza kukupima tangia ukiwa darasa la tano (STD V) mpaka chuo kikuu kuwa wewe 'mambo' yako huko chini yanafunction vizuri ili iwe kipimo cha imani yako!

Sasa hawa wanaosema kuwa mtu akitaka kufunga vizuri ni lazima umuondolee hayo majaribu basi inaweza kuwa uthibitisho kuwa kuna upungufu mkubwa wa imani jambo ambalo ni hatari kwa siku za mbeleni

 
hapa jipya hapo kama vile kuvuta sigara una ambiwa huruhusiwi vuta sigara hapa hivyo isiwe mimi mbona mkristo au mwiislam
 
Back
Top Bottom