Mimi Mkisto nikila hadharani Zanzibar nitashitakiwa kwa sheria gani?

wewe kula hovyo tu hadharani.utapokamatwa na kuandikiwa charge sheet ndo utagundua vipengele ! We hujui zanzibar ni nchi ndani ya muungano ?

tanzania ni moja hakuna cha zanzibar ni nchi ndugu, hicho ni kimkoa kama simiyu vile. Kaka wa kula hadharani wewe hawatakufikisha mahakamani watakutandika viboko mpaka ukome unacheza na watu waliouumbwa kwa ajili ya dili na siyo dini kwa ajili yao?! Ukitaka kuishi vyema eenenda sawasawa na jamii hiyo inavyoenenda, ukihisi njaa kaa chumbani kula ueendeleee na mambo yako. Kuna waislamu wengi wanafunga kwa sababu qu'ran imesema hivyo ila hawapendi.
 
Will my eating before them result in death or what? And this Makruh thing is it in the constitution?

Why don't you go and find out by munching publicly at Darajani Zanzibar. I am sure they'll know you are an alien and will just ignore you.

Zanzibar or Moshi no respected Christian will eat in the open during Ramadhan.
 
Hapa juzi nilisikia viongozi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisema wale wote wanaokiuka mfungo wa Ramadhani watachukuliwa hatua. Lazima nikiri huwa inanikera sana ninapokuwa Zanzibar kikazi wakati wa mfungo wa Ramdahani kujikuta nalazimishwa bila kupenda kufunga kama vile na mie ni muislamu.

Hivi nikiwa Zanzibar na kuanzisha hoteli ambayo nitatoa huduma ya chakula cha mchana hata wakati wa mfungo wa Ramadhani, au kula ndizi yangi hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhani, nitashitakiwa kwa sheria ipi?

Au suala ni kuogopa jazba ya Wana Harakati? Polisi watanilinda kwa mimi kula wakati wa mfungo wa Ramadhani?

Nchi yetu Tanzania haina dini, Zanzibar au Tanzania bara, sivyo?


Zanzibar or Moshi no respected Christian will eat in the open during Ramadhan.
 
Ningependa kujua kama kUna mtu yeyeote aliadhibiwa kwa kukutwa akila wakati wa mfungo?
 
Back
Top Bottom