Mimi kupigana na Msigwa ni kutafuta kesi ya mauaji. sijashkana naye shati na sitaraji

Status
Not open for further replies.
Mfano wa ngumu ulotoao umejidhalilisha bwana Nchemba.!kiutu uzima ni sawa na unanunua ugomvi,unamdharau mwanaume mwenzio! Zaidi ya kupiga kelele majukwaani mimi binafsi sijui unafanya nini..,ivi iko siku wanao watakaa na kusema we r proud of our father? Kwamba umejenga nchi? Au umeleta amani kwa watu? What legacy r u going to liv behind? We r remembered by values we uphold,values of love ,respect n unity..what r ur values Mr Nchemba? Sit down n think.,all these u do zinakupeleka wapi? Kisiasa hutakua..wewe bado mchanga sana..refocus ur strategies..,kwa mtindo wa siasa zako hutofika kokote..u can only brag to fools n we aint one! I hate you...I hate you wt all my heart...the love I have for my country is the hate I v for you...unarudisha nyuma nchi yetu na amani yetu...remember..we.the youth..we will take over this country..remember..we are watching you...
 
@Wa Tanzania
Msipaangalia mnaondolewa kwenye mambo ya mabomu ili msahau.. Hili jinga janja sana
 
Sasa kama kampani yake ni kina Mtela Mwampamba kina Juliana Shonza mlitegemea Mh Naibu Katibu Mkuu aseme na kuwaza nini kama sio hivi? Kama aliweza kufunga safari kwenda Mbozi ili akahutubie mkutano wa hadhala ili baba yake na Mwampamba arudishe kadi na yeye akakubali mlitaka awaze vp huu ndio uwezo wake wa kufikilia ulipoishia if you think small you remain small.
 
Hiyo Lugha ya Kisela ( kihuni ) kwamba ngumi moja tu , unamaanisha nini ? Kwamba una nguvu sana siyo ? Kiongozi , unapinga nini sasa , maana kwa lugha kama hiyo ni bora hata kupigana ! Lakini naomba nikuambie kitu , maneno matupu siyo nguvu Mkuu , bila msaada wa polisi wewe ni mwepesi kuliko hata Pamba .
 
Ndg wana jf.

Sijashikana shati wala mkono na mch msigwa kama ilivyoelezwa kwenye moja ya thread ya leo. Sijawahi kupigana tangu darasa la kwanza na sitarajii kupigana maishani mwangu. Hata ningetaka kupigana msigwa sio saizi yangu napata kesi ya kuua tu hapo kwani kwa nguvu niliyonayo ngumi moja tu huyo haamki.

Kwa wale wanaopeta taarifa za ukweli nawambia tena sijashika shati wala mkono wa msigwa wala sitarajii kupigana. Kwa wale wanaoishi kwa uzushi chakula chenu mmeshapewa kuwa tulishikana mashati mezeni.

kweli wewe ni bonge la nchemba ya mauti hujui hata kujitetea kwa umma wala kukanusha,, unaona unaosha kumbe unachafua profile yako ,, unadiliki kusema kumshika mtu ni kesi ya mauaji??? Pamoja na tuhuma za mauaji zinazokuandama still bado unajiongezea mwenyewe kuwa ni muuaji tosha ama kweli shame on you ,,, umejiaibisha kwa uzi huu na unakiaibisha chama chako baadala ya kujisafisha na tuhuma hiyo uliodai sio kweli ndo unajipaka matope!!! Pole zako
 
Mwigulu anawanyima raha vijana wa bavicha lakini ndo huyo sijui mtamfanya nini labda mtoe roho yake japo siyo kazi nyepesi.

fanyeni siasa acheni kumtafuta mwigulu mtapoteza mda tu.
 
Wewe si ndio ulisema kuwa watu wa Arusha wasipoichagua ccm watakufa,Pia ulisema utatoa ushahidi hata ikiwa mbinguni na duniani,uko wapi ushahidi?
100% unahusika mauaji ya Arusha na wewe ndiyo mratibu wa haya mauaji. Kama mh pinda alsema bomu limetengenezwa china,wewe na kinana mlikwenda kufanya nini china? Mlifuata bomu bila shaka!
 
ulizani dunia ina siri? sasa kama ujawai kupigana hizo nguvu umezijuaje? Hebu twambia kilicho kufanya upanic nini wakati semina ni ya ukimwi wewe unaleta ngumi?

alaf naomba unieleze nini mchango wako kwenye mapambano ya ukimwi hasa pale kwenye jimbo lako.

Hawezi kuwa na mchango wowote, kwa maana kila kukicha wanawake wanalalamika kwenye mitandao dhidi yao.
 
Huyo ndo kiongozi wa ngazi za juu wa ccm..
Hakika napatwa na hofu na uwezo wake!
Ama kweli ccm ina viongozi vilanza
 
uploadfromtaptalk1371915263124.jpg kabla na baada ya kutoka China. uploadfromtaptalk1371915333426.jpg
 
Mwanga mkubwa wewe... hatutaki utetezi wako wa kinafiki hapa jamvini.... Rev Msigwa jembe lile tena huna hadhi ya kutamka wala kuandika jina lake humu JF.
 
Wewe nae ni Kiongzi wa Chama Tawala, wewe Mwigulu Nchemba, wewe ni Naibu katibu mkuu wa CCM!!! eti wewe kweli unatumia gari ambalo ni kodi nazolipa mimi, kama ndivyo basi hii nchi ina laana kama wewe mwenyewe ulivyo laniwa..wewe sio aibu tu ya CCM hata mkoa wako unautia aibu sana...
 
Ndg wana jf.

Sijashikana shati wala mkono na mch msigwa kama ilivyoelezwa kwenye moja ya thread ya leo. Sijawahi kupigana tangu darasa la kwanza na sitarajii kupigana maishani mwangu. Hata ningetaka kupigana msigwa sio saizi yangu napata kesi ya kuua tu hapo kwani kwa nguvu niliyonayo ngumi moja tu huyo haamki.

Kwa wale wanaopeta taarifa za ukweli nawambia tena sijashika shati wala mkono wa msigwa wala sitarajii kupigana. .

mpumbavu hishi kwa nadharia, unajua nini wewe kuhusu kupigana? Unadhani huo mwili wako ndiyo kete ya ushindi kwenye kupigana? Hujawahi kupigana, sawa unawezaje kusema you can kill him at throw of puch? Au ndiyo Unakiri kuwa wewe ni under taker and you can kill at a puch? Huna akili wala busara, unavyomshambulia Msigwa as if ndiye ametoa hiyo taarifa, hivi huwa haujisikii wivu kuona wenzako wanatumia akili zao ili hali zako zimekwa makaazi ya buibui?
 
Hahahaaaaa, Mwigullu kweli nimeamini huna tofauti na Idd Amin Dada, kwani maneno hayo ni kama alivyokuwa anasema Iddi Amin wakati anamtusi Nyerere, kwamba Idd Amin akipambana na Nyerere, ni ngumi moja. Hongera sana Idd Amin wa Tanzania (Mods msinipige ban, nimenukuu tu alivyokuwa anasema Idd Amin, kwahiyo nasisi Iddi Amin Dada wa Tanzania ni Mwigullu Nchemba). Nchemba kama viongozi waliobaki uwezo wa kufikiri umefikia hapo basi yanasemwa juu yako naanza kuamini yana ukweli, ulaaniwe Mkuu, usije ukageukia kuua mkeo na wanao akama alivyokuwa Idd Amin.
 
Baada ya mlipuko wa bomu Arusha tumeyajua mengi,vipi kuhusu yule fundi aliekufungia dish kwa nini ulimrusha ujira wake?.
 
Haha kweli....wengi hawajaamka hadi leo..........nguvu zio za aina nyingi hembu tuambie yako.Bado najiuliza ,ulikuwa unashangaa nini Picha kupiga hata bomu lilipolipuka.

Ni kweli ulikuwa hujui kuwa kamera haiwezi kimbia?Ni kwamba hujui Zoom ni km unafuata focus au kuikimbia?

Umejisikiaje Mungi alivyopost taarifa ya recording maalumu iliyofanywa na CDM na kushita tukio vyema kabisa, tena baada ya mbwembwe zako za "njia ya vumbi " pale bungeni?

Je una mpango wa ku amend maneno yako tena?Au tayari inconsistencies zimekuwa nyingi sana kuendelea na hiyo project?
 
Ndio viongozi wetu hawa. Halafu kesho atakuja hapa na kudai ID yake imeibiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom