Mimba ya Kajala yachoropoka

Status
Not open for further replies.
Naona imeingia fashion ya kubeba mimba kwa mastaa wetu. !
Naona wamepania kutumia watoto kutengeneza pesa. Kwanini wafanye mimba ni kitu cha ajabu. Tanzania kuna watu mamilioni ambao wote wamezaliwa na wanawake. Wangeichukulia mimba jinsi wanavyofanya hao mabinti sijui kama hii nchi ingekalika. Mimba kutoka ni kitu cha huzuni huna haja ya kushirikisha Tanzania nzima.
 
Kama mwanamke....
Ninayejua uchungu wa mimba....
Acha nichunge mdomo na nipite hivi.....huku nasubiri ubuyu mwingine wa warumi
 
Kirahisi rahisi hivo? Kachoropoa asisingizie dawa kwani ye hakujua madawa hayafai
 
Hivi Wema alikunyima nini bestizo?
Naona siku akijifungua nijiandae kukuletea uji Mount Meru!
Hiyo mimba alipata kwa bluetooth au watsup mana inanadiwa kma mbuzi wa sherehe....isije ikatoka kwa kutapika matembele
 
Naona wamepania kutumia watoto kutengeneza pesa. Kwanini wafanye mimba ni kitu cha ajabu. Tanzania kuna watu mamilioni ambao wote wamezaliwa na wanawake. Wangeichukulia mimba jinsi wanavyofanya hao mabinti sijui kama hii nchi ingekalika. Mimba kutoka ni kitu cha huzuni huna haja ya kushirikisha Tanzania nzima.
Kuna kajiuzi kamepita muda mfupi tu hapa asili yake ni insta. naona kame nyofolewa ila Mwafulani ana jipigia Promo sikuhizi ana jitapisha matembele na visamvu mbele za watu binti ana vituko huyu mimi hata ajinyee si amini kama mjamzito.
 
Roho mbaya haijengi mkuu muombee kheri mwenzio, unaandika utafikiri kakunyanganya buzi bhana aaaahhhh!!

Roho mbaya Mimi kwake ya nini? Wanaanzaga wenyewe na wanamaliza wenyewe kama hivi. Nasubiri mwisho wa drama na popcon zangu pembeni natafuna taratiibu na juice pembeni maana mwisho wa kajala tumeshausikia utasema ni mimba ya kwanza hivyo hajui dawa gani inampasa kunywa.nausubiri mwisho wa mama ubaya.
 
Kuna kajiuzi kamepita muda mfupi tu hapa asili yake ni insta. naona kame nyofolewa ila Mwafulani ana jipigia Promo sikuhizi ana jitapisha matembele na visamvu mbele za watu binti ana vituko huyu mimi hata ajinyee si amini kama mjamzito.
Wengi inatupa shida kuamini. Acha tuone!
 
Roho mbaya Mimi kwake ya nini? Wanaanzaga wenyewe na wanamaliza wenyewe kama hivi. Nasubiri mwisho wa drama na popcon zangu pembeni natafuna taratiibu na juice pembeni maana mwisho wa kajala tumeshausikia utasema ni mimba ya kwanza hivyo hajui dawa gani inampasa kunywa.nausubiri mwisho wa mama ubaya.
Sema mwenzangu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom