Militant Sect Declares War on Nigeria After Leader's Killing

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
w371.jpg

Since the killing of their leader Mallam Mohammed Yusuf (above), Islamic sect Boko Haram has declared war on Nigeria

The Islamic sect Boko Haram has declared total Jihad in Nigeria, threatening to Islamise the entire nation by force of war.
In a statement dated August 9, 2009, and made available to Vanguard, the sect whose activities led to the lost of hundreds of lives in northern Nigeria recently declared that their leader Yusuf who was killed in controversial circumstances during the crisis, lives forever.

In what looked like a declaration of war on the rest of the nation, the Boko Haram sect said it will unleash terror in Southern Nigeria this August, beginning with the bombing of Lagos, Ibadan, Enugu to make good its words.

Vanguard reproduces the statement below as issued by Boko Haram.

WE SPEAK AS BOKO HARAM

For the first time since the Killing of Mallam Mohammed Yusuf, our leader, we hereby make the following statements.

1) First of all that Boko Haram does not in any way mean 'Western Education is A sin' as the infidel media continue to portray us. Boko Haram actually means 'Western Civilisation' is forbidden. The difference is that while the first gives the impression that we are opposed to formal education coming from the West, that is Europe, which is not true, the second affirms our believe in the supremacy of Islamic culture (not Education), for culture is broader, it includes education but not determined by Western Education.

In this case we are talking of Western Ways of life which include: constitutional provision as if relates to, for instance the rights and privileges of Women, the idea of homosexualism, lesbianism, sanctions in cases of terrible crimes like drug trafficking, rape of infants, multi-party democracy in an overwhelmingly Islamic country like Nigeria, blue films, prostitution, drinking beer and alcohol and many others that are opposed to Islamic civilisation.

2) That the Boko Haram is an Islamic Revolution which impact is not limited to Northern Nigeria, in fact, we are spread across all the 36 states in Nigeria, and Boko Haram is just a version of the Al Qaeda which we align with and respect. We support Osama bin Laden, we shall carry out his command in Nigeria until the country is totally Islamised which is according to the wish of Allah.

3) That Mallam Yusuf has not died in vain and he is a martyr. His ideas will live for ever.

4) That Boko Haram lost over 1000 of our Marty members killed by the wicked Nigerian army and police mostly of Southern Nigeria extraction. That the Southern states, especially the infidel Yoruba, Igbon and Ijaw infidels will be our immediate target.

5) That the killing of our leaders in a callous, wicked and malicious manner will not in any way deter us. They have lost their lives in the struggle for Allah.

Having made the following statement we hereby reinstate our demands:

1) That we have started a Jihad in Nigeria which no force on earth can stop. The aim is to Islamise Nigeria and ensure the rule of the majority Muslims in the country. We will teach Nigeria a lesson, a very bitter one.

2) That from the Month of August, we shall carry out series of bombing in Southern and Northern Nigerian cities, beginning with Lagos, Ibadan, Enugu and Port Harcourt. The bombing will not stop until Sharia and Western Civilisation is wiped off from Nigeria. We will not stop until these evil cities are tuned into ashes.

3) That we shall make the country ungovernable, kill and eliminate irresponsible political leaders of all leanings, hunt and gun down those who oppose the rule of Sharia in Nigeria and ensure that the infidel does not go unpunished.

4) We promise the West and Southern Nigeria, a horrible pastime. We shall focus on these areas which is the devil empire and has been the one encouraging and sponsoring Western Civilisation into the shores of Nigeria.

5) We call on all Northerners in the Islamic States to quit the follower ship of the wicked political parties leading the country, the corrupt, irresponsible, criminal, murderous political leadership, and join the struggle for Islamic Society that will be corruption free, Sodom free, where security will be guaranteed and there will be peace under Islam.

6) That very soon, we shall stir Lagos, the evil city and Nigeria's South West and South East, in a way no one has ever done before. Al Hakubarah

ITS EITHER YOU ARE FOR US OR AGAINST US

Mallam Sanni Umaru

Acting Leader Boko Haram

Signed: August 09, 2009
 
Mzalendohalisi, extremism ndio uislamu wenyewe kama huelewi! Fuatilia historia iliyojaa umwagaji damu ya Muhammad ambaye ndiye mwanzilishi wa hiyo dini. Katika dunia ya sasa uislamu unaanza taratibu kama ni dini ya amani ndani ya nchi kama ilivyo sasa hivi Tanzania. Wakishakuwa wengi wanaanza malalamiko kwamba wanaonewa. Huko kote ni kutafuta sababu ya kuanzisha fujo ili kuweka Sharia (Sheria za Kiislamu). Kwa kuwa wengine hizo sharia haziwahusu wataraise concern! Hiyo ndio asili ya matatizo ya dini ya kiislamu. Wanafikiri wao wako juu ya sheria za nchi husika! Uislamu na machafuko/mauaji ni kama uji na mgonjwa, asikudanganye mtu!
 
BUchanan,

Tatizo ni extremisim tu mkuu..siyo Uislam!

Soma historia ya Usilamu na mtume wake ujue wasilamu wa kweli wana sifa zipi? Hivi unajua kwanini wasilamu hawamshambulii Osama au Taleban? Maana wanajua ndani na chini ya mioyo yao kuwa hawa ni wasilamu halisi kama alivyokuwa mtume wao.
 
Jina tu lina sema kila kitu, "Boko Haram". Hivi nao si wanigeria? How can they claim war on their own people? Huwa haya makundi yana lalamika nchi zao zime vamiwa na wageni kuhalalisha ugaidi sasa in this case wata semaje?
 
Uisilamu means violence. Angalia hata nchi za kiarabu ambako ndio asili ya dini hii japo asilimia zaidi ya 95% ni waislamu bado wanauana wao kwa wao wakiamini wanampedeza Allah.

Allah kwao anapendezwa na sadaka za damu za watu ambao wanawaita makafiri.

Lakini Mungu wa kweli ni Mungu wa upendo, msamaha, anaependa watu wote watubu na kumrudia yeye. Hivyo Mungu wa kweli anapenda watu wenye dhambi waishi ili wate nafasi ya kutubu.

Kuuwa ni kazi ya shetani ambae anataka watu waanganie ile wajiunge nae jehanamu
 
Kama Osama bin Laden waislamu wangemtreat kama sio mwenzao angekamatwa na wamarekani siku nyingi lakini wamemficha wenyewe na wanamsaidia katika harakati zake za kuueneza uislamu kwa mtutu wa bunduki. Wanajifanya wanakemea vitendo vyake kwa unafiki ili isionekane wanamkubali. Islam is a process, it starts from a moderate Islam, where Muslims are the minority to extremism, which is the REAL Islam! Never be taken away by Islamic Apologists-the REAL hyprocrites!
 
waislam wetu ukiwaambia jamani hiyo dini ni ya shetani wanaruka sasa hayo madudu ya ndugu zenu wa boko mnayasemeaje??
 
Tena Osama wanamuita shekhe na mtumishi wa mungu.
 
jamani ukristo naye ime sha pita humu........ angali passion of the christ na pia jifunze the period of inquisition na utaifahamu nini imetokea...usi laumu waislamu lakini ujue ssa inayo tumika na CIA ...
 
Passion of the Christ was about Jesus' crucifixion by the Romans. What does that have to do with what Boko Haram or any group like that is doing? What is the comparison there?
 
Passion of the Christ was about Jesus' crucifixion by the Romans. What does that have to do with what Boko Haram or any group like that is doing? What is the comparison there?

Hajui hata anaongea nini! Msamehe bure tu.
 
Nadhani GT hajaiona thread hii; akiiona ataingia kama AK 47!! Nyie ngojeni tu.
 
"What the Koran teaches people is aggression, what we teach our people is peace. Ofcoure you always have human nature which distorts whatever message religion is sending" Pope John Paul II
 
waislam wetu ukiwaambia jamani hiyo dini ni ya shetani wanaruka sasa hayo madudu ya ndugu zenu wa boko mnayasemeaje??

DINI YA UBINADAMU NI HII INAYOONGOZWA NA MAASKOFU WANAOPIGWA RUNGU ZA KUNAKOTOKA KINYESI AU MATAKONI

Mashoga toka nje yatua Dar

Na Mwandishi Wetu

Shoga mmoja raia wa Nigeria, Davis-Marc Ayalla, pamoja na wakereketwa wenzake wanaounga mkono ndoa za jinsia moja, wako jijini Dar es Salaam, kuushawishi mkutano wa Maaskofu Wakuu wa Kanisa la Anglikana, kuukubali ushoga na usagaji pamoja na ndoa zao.

Huku akionekana kutokuwa na wasiwasi, raia huyo wa Nigeria akiwa, anajichanganya na kuwashawishi Maaskofu wa Makanisa mbalimbali duniani, jana alikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa, pamoja na mambo mengine, yuko nchini kuanzisha vuguvugu la mashoga na wasagaji.

``Tuko hapa kwenye mkutano zaidi ya wanne tukiwakilisha makundi ya watu wa ngono za jinsia moja. Nimewasiliana na Maaskofu wengi kutoka Amerika na Ulaya, nikiwataka watusikilize na kutukubali kama tulivyo, kwani sote ni wana wa Mungu`` alidai shoga huyo.

Hata hivyo, hakuwaonyesha washirika wenzake.
Ayalla, ambaye ni Mkurugenzi wa vuguvugu la Changing Attitude Nigeria, alisema Tanzania hakuna chombo cha kuwaunganisha mashoga na kwamba anaangalia uwezekano wa kuunda mtandao wa kuwaleta pamoja.

Huku akijiamini, aliwaponda watu wanaotumia vifungu vya Biblia na kuwakosoa mashoga na kusema kuwa kila mwanadamu anapomuomba Mungu, anasikilizwa bila kujali ni shoga ama Askofu.

Alisema wanajua kuwa wanao kaka na dada hapa nchini na kuwataka wasihofu kwani wako pamoja nao na wataendelea kuwatetea ili wakubalike na jamii.

Ayalla ambaye ni mjumbe wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Nigeria (Kanoni), alimtaka Askofu Mkuu wa Jimbo la Canterbury, Rowan Williams, kutoyumbishwa katika kutoa maamuzi ya uhusiano wa ndoa za jinsia moja.

Kiongozi huyo wa Kanisa la Anglikana Nigeria, alisema yuko katika hoteli ambako mkutano huo unafanyika akiwa na lengo la kutetea haki zao.

Kasheshe la ushoga katika Kanisa la Anglikana lilianza mwaka 2004 baada ya Askofu shoga, Gene Robinson wa Marekani, kuapishwa ili kuliongoza kanisa hilo nchini humo.

Hata hivyo, hatua hiyo ilipingwa vikali na makanisa mengi duniani ambapo Makanisa ya Afrika, ikiwemo la Tanzania, yalitishia kujitoa kwenye ushirika wa Kanisa la Anglikana na kuachana na misaada ya majimbo ya Marekani na Ulaya yanayokumbatia ushoga.

Kanisa la Anglikana lina mgawanyiko unaotokana na ndoa za jinsia moja na kuwakubali wanawake kuwa Maaskofu, ambapo Askofu Mkuu wa Marekani, Katherine Schori , anapingwa vikali na makanisa ya Wahafidhina (wenye msimamo mkali), kwa kuwa mwanamke na pia kuunga mkono ushoga madhabahuni.
 
Mi nadhani bado kuna tatizo la watu kufahamu uislam na ugaidi. Inawezekana magaidi wakawa ni waislam lakini uislam si ugaidi. Dunia ya magharibi imewafanya watu waamini kwamba uislam ni ugaidi wakati si kweli hii ni njama walioamua kuieneza ili waweze kunyonya mafuta ya waarabu kwa urahisi. Asili hasa ya dunia ya kiarabu kupinga wenzetu wa magharibi ni huu utaratibu wa nchi za kimagharibi kuhakikisha kwamba resources zote za hapa ulimwenguni zinakuwa zao na kunufaisha kwao na kuziacha nchi husika zikiwa masikini kabisa. Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya hata kidogo, ni mipango kabambe ambayo kwanza wanahakikisha wanatengeneza watu wao wanawaahidi maisha saafi ulaya then wanaanza kula maliasili zetu taratibu.

Mkinyanyuka na kudai haki zenu ndo majina km magaidi, waasi nk hutokea lakini gaidi wa kwanza hapa duniani ni kundi la utawala la nchi za magharibi ambao ugaidi wanaoufanya kwa nchi za Asia na Africa ni afadhali ya Osama na kundi la Haram la Nigeria. Ni hizi nchi za magharibi zinazotufanya mpaka leo watanzania tukawa masikini hivi wakishirikiana na watawala wetu walioahidiwa maisha mazuri ulaya hususani Belgium (centre for African and Asian politics). Ukiangalia viongozi wetu woote wa africa na Asia wanamiliki majumba ya kifahari Ulaya. Sababu ni kwamba siku mkiamka na kudai vyenu wanakimbilia ulaya walipojiwekea maisha yao na ya watoto wao.

Kama kuna mtu anataka kuona haya aanzishe tu mfano wa upingaji wa kinachoendelea hapa nchini mara moja watamuita gaidi km ni muislam na ukiwa mkristo watakuita muasi. ikiwa na maana kwamba hutakiwi kupinga wanayofanya ma bwana wakubwa kwani wao ndo wamepewa dhamana na mungu kula mali zetu.

Nadhani ifike kipindi sasa watu wajue nini uislam na nini ni ugaidi bila hivyo tutajikuta tukichukiana bila sababu.

Hawa wenzetu asili hasa ya kupigania nchi zao zindeshwe ki islaam ni kwamba wanaamini ktk uislam muongozo thabiti ndipo utakapopatikana kwa sababu kuu zifuatazo:

1. Ni sheria za kiislam ambazo hazina matundu ya kutokea wala ubabaishaji, km mtu kaiba hukumu yake ni kukata mkono basi hakuna la kujadili.

2. Viongozi wasiokuwa na dini si viongozi ni mashetani, hawezi kuwa na huruma kwa jamii wanayoingoza na ndio maana unaona huyu mpagani bwana kingunge anapinga hata vitu vya msingi (waraka wa wakotoliki) bila hata kueleza mapungufu yake inakuwa shida.

Nawaomba ndugu zangu watanzania tuwe makini na hii dunia ya kimagharibi ambayo lengo lake kubwa ni kuvuna mali zetu wakishirikiana na ndugu zetu tuliowapa jukumu ya kuzilinda bila ya huruma kwa masikini wa nchi hii amabao hawajui mkate wao wa kesho ni nini.
 
DINI YA UBINADAMU NI HII INAYOONGOZWA NA MAASKOFU WANAOPIGWA RUNGU ZA KUNAKOTOKA KINYESI AU MATAKONI

Mashoga toka nje yatua Dar

Na Mwandishi Wetu

Shoga mmoja raia wa Nigeria, Davis-Marc Ayalla, pamoja na wakereketwa wenzake wanaounga mkono ndoa za jinsia moja, wako jijini Dar es Salaam, kuushawishi mkutano wa Maaskofu Wakuu wa Kanisa la Anglikana, kuukubali ushoga na usagaji pamoja na ndoa zao.

Huku akionekana kutokuwa na wasiwasi, raia huyo wa Nigeria akiwa, anajichanganya na kuwashawishi Maaskofu wa Makanisa mbalimbali duniani, jana alikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa, pamoja na mambo mengine, yuko nchini kuanzisha vuguvugu la mashoga na wasagaji.

``Tuko hapa kwenye mkutano zaidi ya wanne tukiwakilisha makundi ya watu wa ngono za jinsia moja. Nimewasiliana na Maaskofu wengi kutoka Amerika na Ulaya, nikiwataka watusikilize na kutukubali kama tulivyo, kwani sote ni wana wa Mungu`` alidai shoga huyo.

Hata hivyo, hakuwaonyesha washirika wenzake.
Ayalla, ambaye ni Mkurugenzi wa vuguvugu la Changing Attitude Nigeria, alisema Tanzania hakuna chombo cha kuwaunganisha mashoga na kwamba anaangalia uwezekano wa kuunda mtandao wa kuwaleta pamoja.

Huku akijiamini, aliwaponda watu wanaotumia vifungu vya Biblia na kuwakosoa mashoga na kusema kuwa kila mwanadamu anapomuomba Mungu, anasikilizwa bila kujali ni shoga ama Askofu.

Alisema wanajua kuwa wanao kaka na dada hapa nchini na kuwataka wasihofu kwani wako pamoja nao na wataendelea kuwatetea ili wakubalike na jamii.

Ayalla ambaye ni mjumbe wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Nigeria (Kanoni), alimtaka Askofu Mkuu wa Jimbo la Canterbury, Rowan Williams, kutoyumbishwa katika kutoa maamuzi ya uhusiano wa ndoa za jinsia moja.

Kiongozi huyo wa Kanisa la Anglikana Nigeria, alisema yuko katika hoteli ambako mkutano huo unafanyika akiwa na lengo la kutetea haki zao.

Kasheshe la ushoga katika Kanisa la Anglikana lilianza mwaka 2004 baada ya Askofu shoga, Gene Robinson wa Marekani, kuapishwa ili kuliongoza kanisa hilo nchini humo.

Hata hivyo, hatua hiyo ilipingwa vikali na makanisa mengi duniani ambapo Makanisa ya Afrika, ikiwemo la Tanzania, yalitishia kujitoa kwenye ushirika wa Kanisa la Anglikana na kuachana na misaada ya majimbo ya Marekani na Ulaya yanayokumbatia ushoga.

Kanisa la Anglikana lina mgawanyiko unaotokana na ndoa za jinsia moja na kuwakubali wanawake kuwa Maaskofu, ambapo Askofu Mkuu wa Marekani, Katherine Schori , anapingwa vikali na makanisa ya Wahafidhina (wenye msimamo mkali), kwa kuwa mwanamke na pia kuunga mkono ushoga madhabahuni.

Siku zote mwakimbilia ushoga, lakini hili la boko haram mnalo!!! Oh!... nyinyi makafiri...sasa mnatangaza kabisa uhusiano wenu na osama bin laden ...loh... kweli mmepatikana ubishi wote umewaishia.
 
Back
Top Bottom