Vipo vioo vigum sana ambavyo ni ngumu kuvunja hata kwa risasi. Kwa hapa Dar sjuwi kampuni gani inajihusisha lakini bei yake lazima utakuwa shikamoo!Habarini,wana JF, Kuna jambo linaniumiza kichwa. Ningependa kuuliza hivi kuna milango ya vioo ambayo wezi hawawezi kuivunja. Kama ipo ha[a Dar naweza kuipata wapi.
Karibuni wadau mnisaidie
Hahahaa...
Wadada mnaotaka watu na nyumba zao fursa hiyoo...
Bro we m'bayaaaaa hahaha subiri PM's
Ha ha ha daah, we jamaa bhana umenivunja mbavu kwa kicheko..
Bongo minondo na grill ni fashen, vioo pekee nenda ulaya hawaweki grill
Vipo vioo vigum sana ambavyo ni ngumu kuvunja hata kwa risasi. Kwa hapa Dar sjuwi kampuni gani inajihusisha lakini bei yake lazima utakuwa shikamoo!
kioo...kisichoweza kuvunjwa?!seriously asking for this?!
Naomba unisaidie mkuuVipo vioo vigum sana ambavyo ni ngumu kuvunja hata kwa risasi. Kwa hapa Dar sjuwi kampuni gani inajihusisha lakini bei yake lazima utakuwa shikamoo!