Wasomi wengi wa kiafrika wamefanikiwa kufuta ujinga ila wameshindwa kuondoa upumbavu.Hapo shida ni elimu mtu ambae ameenda shule hawezi kufanya huo ujinga kamwe wengi wao ni wale ambao shule iliwapitia kushoto serikali kupitia vyombo vyake inakazi kubwa ya kutoa elimu mahususi kwa jamii iyo ili watu wapate mwanga
Wasomi wengi ni wapumbavu.