WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 5,882
- 5,644
HakikaChawa kwenye ubora wenu, hata hivyo mna hali mbaya kiasi kwamba mnashindwa kumtetea boss wenu

habari za magufuli kukopa mbona zilikua wazi yaani nikutafunie kila kitu hapana maisha sio marahisi hivyo kama ulikua hufuatilii poleKatika andiko lako, unetumia hisia na mihemko bila kutumia akili.
Tulitegemea tuone
1. Benki gani binafsi alikopa.
2. Riba ilikuwa kiasi gani.
3. Muda wa kurejesha mkopo una urefu gani.
4. Kiasi alichokopa ni shs ngapi.
5. Concessional loans wanakopesha kwa riba kiasi gani.
6. Nk.
Bila kuainisha mambo kama haya utakuwa unafukuza upepo tu na kupiga ngumi hewani.
Pia faida kwa mabenki haiathiri mzunguko wa fedha kama ulivyokuwa unasema. Kwa taarifa yako, sasa kuna mzunguko wa fedha mkubwa sana hivi kwamba BoT imetoa sera ya udhibiti.
Una hoja mdo maana umejificha kwenye kivuli cha chawaChawa kwenye ubora wenu, hata hivyo mna hali mbaya kiasi kwamba mnashindwa kumtetea boss wenu
Umesema yote! Bahati Mbaya Jiwe hajaishi mpaka leo hii ili auone ugoro wakeKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Sihitaji kupongezwa hakuna sehemu nimeomba kupongezwa nimetoa kile nachokionaMada gani wewe,unataka watu wakupongeze wakati unachapia?Wewe yanayofanyika leo unaona sawa??
Legacy yake bado ipo ndo hii inatesa nchiUmesema yote! Bahati Mbaya Jiwe hajaishi mpaka leo hii ili auone ugoro wake
0 brainKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
We umeongelea madhaifu ya Magufuli kwamba alikopa hovyo ila alichokifanya tumekiona. Kwangu mimi sioni tatizo kama alikopa ili afanye mambo ya maana. Ila mmeliongelea on the downside ofcoz riba lazima zilipwe.Ila uzi hauhusu hayo uliyoyasemea kwanini usijikite kwenye mada ya uzi
Hakuna sehemu nimeongelea umeme au changamoto nyingine
Weee weweeeeeee weeeeeeKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Maamuzi ya hovyo, unajua nchi inapeleka mamilioni mangapi ya dola kuagiza vifaa vya miradi ya hovyo? Na unajua nchi inapeleka bidhaa zipi nje ya nchi zenye uwezo wa kuleta dola ambazo zitatumika kulipia mitambo na huduma nje ya nchi?Legacy yake bado ipo ndo hii inatesa nchi
Mtu anaweza akafa leo ila maamuzi yake yakawa tanzi kwenu miaka mingi sana
Miradi ya hovyo nani aliyeanzisha kama sio magufuliMaamuzi ya hovyo, unajua nchi inapeleka mamilioni mangapi ya dola kuagiza vifaa vya miradi ya hovyo? Na unajua nchi inapeleka bidhaa zipi nje ya nchi zenye uwezo wa kuleta dola ambazo zitatumika kulipia mitambo na huduma nje ya nchi?
Sawa,hayo ni maoni yako yaliyojaa uongo wa kiwango cha lami.Ni mwaka wa tatu huu tangu Magufuri atutoke na nchi inayumba kuliko kawaida.Sijitaji kupongezwa hakuna sehemu nimeomba kupongezwa nimetoa kile nachokiona
Nchi inayumba wapi wewe unajua samia anashafisha uchafu wa magufuliSawa,hayo ni maoni yako yaliyojaa uongo wa kiwango cha lami.Ni mwaka wa tatu huu tangu Magufuri atutoke na nchi inayumba kuliko kawaida.
Ameshindwa hata kuanzisha mradi wa kulima Bustani,ila tu amewafukuza Wamasai Ngororo na Loliondo na kuwakabidhi Waarabu.Miradi ya hovyo nani aliyeanzisha kama sio magufuli
Ntajie mradi wowote mkubwa samia aliouanzisha
Mnajitahidi kumzushia kila uchafu wote ili kuifuta legacy yake nyie chawa wa mafisadi mnafikiri hatujui kama mnaibaKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Hapana,kama anasafisha uchafu wa Magufuri awatoe COVID 19 Bungeni.Nchi inayumba wapi wewe unajua samia anashafisha uchafu wa magufuli
Acha ufalaKwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Huna unachoelewaAcha ufala
Furahia kifo cha mwenzako wakati hata wewe siku zinahesabika wala huishi mileleBora corona ilivyomfyekelea mbali