Dah mjinga 1 kapata red ameharibu kila kitu huu mchezo hauitaji hasira.
Screenshot_20240316-204055_SportyBet.jpg
 
YANGA vs AZAM

Sportbety bado hawajaiweka wanaichungulia kwanza

Ila mjue Sportbety kwa Team za Bongo hawapo vizuri,hasa hizi teams kubwa SIMBA,YANGA na AZAM

Yaani unaweza kukuta mkeka unatiwa Asubuhi while mtu unasuka mkeka wa weekend

Ila Sportpesa na Mbet wao Mechi hizi huzitia mapemaaa siku kabla.

Kuna kipindi YANGA waliwapeleka maboya,basi kila siku wanasubiria kusikia majeruhi na nani hatakuwepo

Nawaambia Sportbety nawasubiria,mkiiweka tu naruka nayo,najua Asubuhi odds zitapanguko mboo
 
Hivi alomloga Girona ni nani jamani??? mbona haeleweki???
Yaani hii Team imevamia nafasi ya watu

Mara ya 5 inachana kwa Team za kawaida

Ngoja nipokee sim kwanza kutoka Ureno
Halooo,haloooo haya niammbie
Eeeee huku Porto kapigwsa Moja na kibonde vizela sasa odds za porto 1.14 kama uliona ndogo ndio zimekuchania
Haya pumbavvvvv kata sim
 
Option ya Booking matumizi yake yapoje sijawahi itumia kwasbb sijajua inatumikaje msaada tafadhali.
Bookings tafsiri fupi ni Kadi za Njano au Nyekundu

Uwiano ni kama wa magoli
League ya Netherlands waanza mpaka 1.5 baadhi ya Mechi kwenda juu

Sasa ikiwa 1.5 basi Kadi za Njano ziwe zaidi ya Moja,ikiwa 2.5 Kadi iwe zaidi ya mbili NK

Sasa Red Card yaa moja kwa Moja inahesabika kama Yellow cards mbili,sasa ikiwa over 1.5 mtu Akala straight red card basi imetiki,ila ikiwa Mchezaji alipewawanzo yellow card then akipewa red basi ni Kadi mbili tu hizo,ile red inakuwa kama second yellow card

Kuna mkeka Asubuhi nistue nitakupa Codes ya bookings tu uweke Buku tu,Ili uwe
unajifunza kwavitendo
 
Back
Top Bottom