Kwani alikuwa anaiba?Hivi Betway ameshaacha UTAPELI! na WIZI wake!? Ama amepunguza!?
Hiyo option mbovu saana hupati chochote, ukiweka over 1.5 timu ya bayern Kwa dau la laki mbili inaleta faida ya elfu tatuoption ya magoli itabaki the best, hata kama huwa kuna 0-0 au under 1.5 ila huwa ni chache sana ukilinganisha na hivi vipigp vya direct win
NimeonaHapana nimetoboa kwasababu nilisema huyo wa nyumban(Cercle Brugge) ndo atoe under 3.5 na mechi imeisha 1-3
tuna malzia stake iliyo baki. Kui amishia kwingne itakua uchawiTumeongea Nini na we unafanya nini
Wadau kwa anae jua app inayooneaha game za EPL live nataka nione kama ntaona game ya arsenal
Koora tv
Nimeona minimum odds 1.2 ni wale waleYupo vizuri
Playstore naona zipo nyingi sjui itakuwa ipi kati ya hzKoora tv
Hamisha sporty tu mkuutuna malzia stake iliyo baki. Kui amishia kwingne itakua uchawi
Matapeli hao wacheck mkuuWakuu hawa sportbety sijawaelewa hapo wameniwekea lost kwenye game ya verona na lazio wakati nimeweka under 2.5 na mechi imeisha 1-1,Sijui ndo wameamua kunifanyia janja janja ili nisiweze ku cash out,maana mkeka umeondolewa kabisa kwenye open bet.
View attachment 2837838
Wafate waulize labda wamejisahau ata mimi najua hivyo hivyoWakuu hawa sportbety sijawaelewa hapo wameniwekea lost kwenye game ya verona na lazio wakati nimeweka under 2.5 na mechi imeisha 1-1,Sijui ndo wameamua kunifanyia janja janja ili nisiweze ku cash out,maana mkeka umeondolewa kabisa kwenye open bet.
View attachment 2837838
Mkuu huku si ndo tumekubalina tunarudi tena imekuwaje kuwaje🙁Matapeli hao wacheck mkuu
Ni basi tuHizi timu zenye mechi weekend za Ligi ni wapuuzi sana. Frankfurt anacheza na Bayern wkend, so mechi ya leo wachezaji almost wote sio first eleven