Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,951
- 13,339
Pia kuna waliompa option ya over 2.5 goals😂niliongea jamani kuhusu Bayern kuwepo mikeka yote atatumaliza...anyways tusali Sana
Ngoja nikajisukie Zangu mkeka mpya.
Anaweza asifike over 2.5Kuna mwamba aliwahi toa elimu humu
Endapo ukiitilia mashaka timu kubwa at least tengeneza mikeka miwili inayoenda
1)away team or under 2.5
2away team or over 2.5
Waliotilia mashaka Leo hii timu ya Bayern wananufaika na option namba mbili
Yaani wote wa betpawa Hawa katika kutafuta bonusPia kuna waliompa option ya over 2.5 goals
Away team or over 2.5 ishatiki kitambo tu sababu mpinzani ana goli nne yeye 1Anaweza asifike over 2.5
Wapi mkuu mimi naangalia live hapa kapigwa la tanoBayani kabakwa la tano
Labda umewekwa ww hana la pili wala 2 na kakojolewa 5Bayani kabakwa la tano
Usishangae zikafika saba vijamaa vikiingia tu kwenye box goliBayern ana kung'utwa huku hii kipigo ata mbwa akìingia msikitin hapigwi hivi.
5