Ibudigital
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 325
- 657
Hatari, mimi huwa naangalia codes... Kama niya uhakika najilipua nayo tu, hapo ukiweka hata 1000 tu unakula laki na 70 yako mi mbona naona poa tu! ila ukiamua kujilipua hata kwa 20K tu unaondoka na milioni zako tatu za fasta boss wangu.betPawa hawafai wala hawavutii tena siku hizi.
nimejaribu kuiweka hiyo code niangalie bonus itakuwaje. 191 odds nikazidisha na sh. 100 imekuja sh. 17,000, maana yake bonus ni 0%. situmii tena betPawa, labda warudishe bonus.