Wanajua sana punguza hasira umbwa we.
Watu wanaopost Won wakikushawishi ujiunge VVIP sijui VIP ni wezii na matapeliiiWanajua sana punguza hasira umbwa we.
Mkuu Man U anashinda au wanatoa Draw ndo kanji anajua kabisa kwamba wengi watastake kumuua Man U na atarudisha pesa zake huko...Man u akishinda hii mechi me naacha kushangilia mpiraaa.
52F7346 Edited.ADBDCEC
just a football
EF90419 editedDC7F8CF..BP
GOD BLESS..🙏
Man u anakufa mapema tuMkuu Man U anashinda au wanatoa Draw ndo kanji anajua kabisa kwamba wengi watastake kumuua Man U na atarudisha pesa zake huko...
Kishatuma majini yake
Mkuu uli rebet lile tren alilopita nalo Fiorentina siku ya kwanza tu?Wanafeli sana hawa jamaa, ingawa game zilizobaki sio mbaya sana ila ndo hivyo tu matokeo hayatabiriki...
Yani mkeka wa 150k timu zimetiki timu 12 bado moja unapewa 600 mamaee kanjiKanji ***** mpk elf 9 kazuia cash out njiwa manga uyu
Barikiwa sana Mkuu, mimi Auxerre kaniua kinyama mno, dakika ya 96 kati ya 5 za nyongeza, nilistake 100,000 nilikuwa napata 900,000. Ila nimeamua jana ndio mwisho wangu kutumia bet pawa, nimebakiwa na mkeka mmoja tu huko, sirudi tena, maana ilibaki match moja tena win or draw na market ilikuwa bado ipo, Ila cash out hakuna, ni zaidi ya mara nne anafanya huu ujinga, hata last week match ya FCSB nisingekuwa nakosa hata laki 6 -7 kwenye makampuni serious kama Sportybet. Yaani hawana Win to Win marketing approach kabisa.
Safi sana Mkuu naona umeamua kuhama bet pawa, nimekufuata kuanzia leo.By the way...Mimi si muumini katika GG hata siku 1..!
But....Kwenye hii code...Nimeipa GG mechi ya Leverkusen... "Confidently!"
40D3454 spot...bet
Na mechi ya kwanza tu!..Saa 6 hii Tobol kostanay...nimemuomba goli 1
But kama wewe ni KUNGURU! ..Muoga zaidi kama mm....stake code ya chini ....
Nimezipaka kilainishi (vaseline hizo mechi 2...kutoka GG to over 1.5...
C6420F
duh betpawa tunakimbilia bonus tu lakini wanayumba sanaBarikiwa sana Mkuu, mimi Auxerre kaniua kinyama mno, dakika ya 96 kati ya 5 za nyongeza, nilistake 100,000 nilikuwa napata 900,000. Ila nimeamua jana ndio mwisho wangu kutumia bet pawa, nimebakiwa na mkeka mmoja tu huko, sirudi tena, maana ilibaki match moja tena win or draw na market ilikuwa bado ipo, Ila cash out hakuna, ni zaidi ya mara nne anafanya huu ujinga, hata last week match ya FCSB nisingekuwa nakosa hata laki 6 -7 kwenye makampuni serious kama Sportybet. Yaani hawana Win to Win marketing approach kabisa.View attachment 2796634
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Yaah Sportybet kwa Cashout wanyamaa sanaa.. 1xbet na Betpawaa ni wagumuu mnoooBarikiwa sana Mkuu, mimi Auxerre kaniua kinyama mno, dakika ya 96 kati ya 5 za nyongeza, nilistake 100,000 nilikuwa napata 900,000. Ila nimeamua jana ndio mwisho wangu kutumia bet pawa, nimebakiwa na mkeka mmoja tu huko, sirudi tena, maana ilibaki match moja tena win or draw na market ilikuwa bado ipo, Ila cash out hakuna, ni zaidi ya mara nne anafanya huu ujinga, hata last week match ya FCSB nisingekuwa nakosa hata laki 6 -7 kwenye makampuni serious kama Sportybet. Yaani hawana Win to Win marketing approach kabisa.View attachment 2796634
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Duu aisee pole,kama umebet sportbet naomba code mkuu,Sina idea yoyoteBarikiwa sana Mkuu, mimi Auxerre kaniua kinyama mno, dakika ya 96 kati ya 5 za nyongeza, nilistake 100,000 nilikuwa napata 900,000. Ila nimeamua jana ndio mwisho wangu kutumia bet pawa, nimebakiwa na mkeka mmoja tu huko, sirudi tena, maana ilibaki match moja tena win or draw na market ilikuwa bado ipo, Ila cash out hakuna, ni zaidi ya mara nne anafanya huu ujinga, hata last week match ya FCSB nisingekuwa nakosa hata laki 6 -7 kwenye makampuni serious kama Sportybet. Yaani hawana Win to Win marketing approach kabisa.View attachment 2796634
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app