A990E3C8187439
betpawa, 1377 odss, 31 legs
edit share, please
Mkuu bac post codes zako Leo usibet kimya kimya afu upost win humu .. tunakuombaNjiniasi mimemuelewa alipo sema odds ni sawasawa ajakosea inabidi uwe na akili nyepesi kuelewa yupo sahihi ni odds sawa sawa kinyume nyume
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Code mkuuFuko la hela hilo...
Code iko wapi mkuuFuko la hela hilo... 👇
Corners....Leo mech ya Yanga na Azam ipi n option nzur kuweka....
1.0ver 2.5
2.corners 8.5
Mechi hizo nimekuwekea... unashindwa nini kusuka code!?.... Hadi betpawa waniingizie gawio langu... ndipo ntastake nilete code humu.Code iko wapi mkuu
kwangu iko sawaHivi kuna aliyefanikiwa ku_withdraw au ku_deposit Betpawa?
Lete code mkuu ili tuishi nayoFuko la hela hilo...
Mimi nime_withdraw asubuhi, pesa imetoka kwenye acc ya Betpawa lakini haijaingia Mpesa acckwangu iko sawa
pole sana kiongozi, itakua networ tu, wapigie vodaMimi nime_withdraw asubuhi, pesa imetoka kwenye acc ya Betpawa lakini haijaingia Mpesa acc
Codes?Fuko la hela hilo...
Hahaha but unaweza ukaomba code bila ya kustake. Anyways... its your decision. Maana kusema kutengeneza mkeka ufanane na huo landa uwe umechukuwa mechi zote za kwenye list ya oncoming matchesMechi hizo nimekuwekea... unashindwa nini kusuka code!?.... Hadi betpawa waniingizie gawio langu... ndipo ntastake nilete code humu.
Voda nilishawapigia wanasema haijaingia katika acc ya Mpesa, nawapigia Betpawa zile namba zao 2 zote hazipatikanipole sana kiongozi, itakua networ tu, wapigie voda
ZOTE ziko poa, Azam lazima azikwe leoLeo mech ya Yanga na Azam ipi n option nzur kuweka....
1.0ver 2.5
2.corners 8.5
wachek fbVoda nilishawapigia wanasema haijaingia katika acc ya Mpesa, nawapigia Betpawa zile namba zao 2 zote hazipatikani