Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,145
- 16,491
Kwamba ukipaste code inajua kuwa huo mkeka ulishachezwa!!?leo muindi hataki elaView attachment 2790088
Kwamba ukipaste code inajua kuwa huo mkeka ulishachezwa!!?leo muindi hataki elaView attachment 2790088
Itakua anamanisha kuplace betKupost mikeka wapi!!?
Betpawa una_withdraw lakini haifiki kwenye acc ya simumbona kwangu fresh tu
Na wewe imekugomea ...mi nimesuka tu mikeka sijaplace akaunti ni empty...Itakua anamanisha kuplace bet
Ata kudeposite kipengele maana mm nmeweka pesa toka jana lkn mpaka sasa hv mpunga aujasomaAsante Mkuu, hizi zote hazipatikani, hivi kuna aliye_withdraw pesa akafanikiwa leo?
Tayli imekubaliAsante Mkuu, hizi zote hazipatikani, hivi kuna aliye_withdraw pesa akafanikiwa leo?
Jaribu kuangalia kuna sehemu zipo namba zako, chini pamendikwa call me, bofya pale, baada ya dk flani utapigiwa weweMwenye namba inayopatikana ya customer care ya Betpawa TZ, naomba aiweke humu
Wahuni sio watuKanj kapgka sana wk hii ndo maana mtandao unazngua coz wanaofanya miamala ni wengi ko soon kila kitu ktakuwa sawa
Njiniasi mimemuelewa alipo sema odds ni sawasawa ajakosea inabidi uwe na akili nyepesi kuelewa yupo sahihi ni odds sawa sawa kinyume nyume721586C .... Bado naendelea
Odds tofauti ....unamatatizo ya macho!!? 1.17 na 1.32 kwako ni sawa!!?
Weka code bas mkuu ..msfanye ivi mpaka tuombe apaleo muindi hataki elaView attachment 2790088
Ukiona hivyo ujue mtoa code katengeneza kabla ya kufuta mechi zilixo tiwa x nilinote majuzi nilipo mtumia mtu mkeka nikiwa naye face to face ila nilipo futa mechi zilizo tayari ndipo nika tengeneza code inakubalileo muindi hataki elaView attachment 2790088
Mkuu mkeka uko vizuri ila hizo under zako zitakuponza3AB07A3 bp
Wahenga wajungu wanasema Njia zote zinaelekea Rome.... All roads lead to Rome .....Njiniasi mimemuelewa alipo sema odds ni sawasawa ajakosea inabidi uwe na akili nyepesi kuelewa yupo sahihi ni odds sawa sawa kinyume nyume
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app