Hapo kwa Man U, Juve na Roma kuwapa direct win ni hatari kwasababu hizo timu zilishashinda mechi iliyopita kwaiyo wanaweza wasiweke jitihada ya kushambulia bali kujilinda zaidi
Hapo kwa Man U, Juve na Roma kuwapa direct win ni hatari kwasababu hizo timu zilishashinda mechi iliyopita kwaiyo wanaweza wasiweke jitihada ya kushambulia bali kujilinda zaidi
Leo napita na mtreni yote.huu tayarBetPawa
12AD922
Tuwekee nass was betpawa code mkuu
Tayar nimedandia sgr047FC65
Betpawa SGR
Tulia usiwe na harakaWazee me nina 3weeks nimebeti sijala hata kumi nifanyeje jmn
Nimemtoa Juve ! Nimemtoa lens !
Huo wakurudisha mtaji ya matreni.Huu nauombea utick huu
kweli kabisa kuna timu ambazo zipo serious msimu huu kama Arsenal, City , Bayern, Real Madrid and the likes. Ila hao Man utd, Juve, Liver, Monaco na mafala wenzao wengine sio wa kuwaamini.Bora uchukue kidogo kuliko kukosa kabisa.
Mi kwenye mechi akibaki Arsenal masubiri ila Man U siwezi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Chukua hiyo code C1B4A06 betpawa ametupia ndugu hapo juu, nimeucheki ni mzuri kiasi ila unahitaji maboresho. Humo kuna mpumbavu Monaco yupo ugenini ni wa kumuondoa kabisa, halaf kuna Monza ya Italy nao sio kuwaamini.Leteni matreni hayo wazee.nina mtaji wamikeka 50,najua sku yakilipuka ntakua boss.
Kampuni gani hii bigboi?
Natupia km ulivyo then mwingine na edit kdg.asante mkuuChukua hiyo code C1B4A06 betpawa ametupia ndugu hapo juu, nimeucheki ni mzuri kiasi ila unahitaji maboresho. Humo kuna mpumbavu Monaco yupo ugenini ni wa kumuondoa kabisa, halaf kuna Monza ya Italy nao sio kuwaamini.
Kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa msimu ni bora kuepuka zile mid-table teams ambazo hazina malengo ya top 4 wala hazipo kwenye hatari ya kushuka daraja. Timu za hivyo ni bora ukabetia total goals lakini sio kumuamini mmoja wapo ni hatari.
Itakua sportybet hyoKampuni gani hii bigboi?
Kumbe huu tayar nimeweka 500.nilichukua hapo juu kk.hapa naedit kdg alaf na rebetChukua hiyo code C1B4A06 betpawa ametupia ndugu hapo juu, nimeucheki ni mzuri kiasi ila unahitaji maboresho. Humo kuna mpumbavu Monaco yupo ugenini ni wa kumuondoa kabisa, halaf kuna Monza ya Italy nao sio kuwaamini.