Mimi mwenyewe niko hoi hapa baada ya kumfata jana na leoBeting aina mwenyewe huyo Tip master toka Jana ana lost na odds 2 mpaka 1.50 kanimaliza ka hela kangu
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hv hyo goal scored in both halves Inamaana ganiKuna muda una-test zako tu mitambo na mitambo nayo inakubali.
Odds 4.7
Kubet saa nyingine ni ku-take risk tu.View attachment 2010448
Kila kipindi lipatikane goli.Mkuu hv hyo goal scored in both halves Inamaana gani
Safii sanaa mkuu...tupiamo code tuwe tunakufataHii option ya Under, Offsides 1 half naona inatoa toa mnaweza jaribu. Wale wazee wa odds chache stake nyumba. Next time tatupia codes.
Hata hiyo ya Croatia nayo ni WON
View attachment 2010465
View attachment 2010463
View attachment 2010462
Beting aina mwenyewe huyo Tip master toka Jana ana lost na odds 2 mpaka 1.50 kanimaliza ka hela kangu
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Croatia 1-Russia 0wadau vp matokeo mechi ya croatia?
Mimi yamenikuta hayo hayo,jana na leo lost za kutosha imebidi nijitoe kwenye chanel yakeMimi mwenyewe niko hoi hapa baada ya kumfata jana na leo
Usijitoe mwana yuko poa akianzaga kula anaweza kula wiki nzima au mwezi mpaka hasara inarudiMimi yamenikuta hayo hayo,jana na leo lost za kutosha imebidi nijitoe kwenye chanel yake
Inatosha aisee,nilishamfuata kipindi cha nyuma ikawa hivo tenaUsijitoe mwana yuko poa akianzaga kula anaweza kula wiki nzima au mwezi mpaka hasara inarudi
Kwanini usifate akili yako, unategemea ya mtu?Mimi yamenikuta hayo hayo,jana na leo lost za kutosha imebidi nijitoe kwenye chanel yake
Tatizo letu huwa tunamkumbuka wakati muhindi anatupa mkong'oto wa hatariInatosha aisee,nilishamfuata kipindi cha nyuma ikawa hivo tena
Mwamba hunaga kazi mbovu...nakumbuka mwaka jana mkeka bet wanakumbuka shughuli yako..Angalau faida 100000View attachment 2010488
Nataka nijaribu ligi ikianza nilipuke mkeka wa 500,000/ odds 25 Timu 6 tu afu nilaleMwamba hunaga kazi mbovu...nakumbuka mwaka jana mkeka bet wanakumbuka shughuli yako..