93DB263~Betpawa.
Wakuu nimejaribu kubadilisha ila baadhi ya option kama over 0.5 kwa baadhi ya timu hakuna so nimeweka home team over 0.5 or over 1.5~FT.
Pia naona baadhi ya mechi za World CUP QUALIFYING hazijawekwa mfano Belgium vs ESTONIA.
Hizi za world cup qualification we umezipata wapi mbona nimezitafuta za ulaya sioni betpawa
 
Back
Top Bottom