ekessy
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 258
- 149
Kipigo cha leo hatariNaona kanji kaanza rudisha mdogo mdogo pesa zake za Jana....asante lyon na Leipzig
Kipigo cha leo hatariNaona kanji kaanza rudisha mdogo mdogo pesa zake za Jana....asante lyon na Leipzig
Man City kashawashwa kimoja dakika ya 52Kipigo cha leo hatari
Hongera mkuu. Nimejiunga na betway lkn nashindwa deposit kwa tigopesa. Wewe unatumia mtandao gani. Na je una namba ya simu ya mtu yoyote wa betway tz. Naomba msaada wako mdau
Three Consecutive Wins...Hahaha just take a deep breath and relax...View attachment 1893720View attachment 1893721
Mkuu betway rahisi sana mimi pia natumia Tigo pesa, namba ya simu labda uchati nao.Hongera mkuu. Nimejiunga na betway lkn nashindwa deposit kwa tigopesa. Wewe unatumia mtandao gani. Na je una namba ya simu ya mtu yoyote wa betway tz. Naomba msaada wako mdau
Very simple nenda kwenye deposit alafu bonyeza tigopesa itakupeleka mpaka kwenye simu yako au menu ya tigo pesaHongera mkuu. Nimejiunga na betway lkn nashindwa deposit kwa tigopesa. Wewe unatumia mtandao gani. Na je una namba ya simu ya mtu yoyote wa betway tz. Naomba msaada wako mdau
Nafanya hivo lkn inagoma mkuu. Una namba zao niwacheki?Very simple nenda kwenye deposit alafu bonyeza tigopesa itakupeleka mpaka kwenye simu yako au menu ya tigo pesa
Chat nao mkuu hawana namba za simu wala emails, nenda chini ya simu yako kulia utaona chatNafanya hivo lkn inagoma mkuu. Una namba zao niwacheki?
Poa mkuu thanks sanaChat nao mkuu hawana namba za simu wala emails, nenda chini ya simu yako kulia utaona chat
Dont take it serious...
Mkubwa kwa hizi odds zako nadhani huwa unaweka mzigo mrefu sana