Mbona ipo sawa tu hebu jaribu kreflesh, coz mimi nimeweka pesa sasa hivi na imeendaPrincessbet nao ukitaka kudeposit, unakutana na ...
View attachment 561144
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mbona mimi nimedeposit sasa hivi na hela imeingia muda huo huo kama mnatumia voda tatizo litakuwa voda maana mimi nimetumia tigomtandao leo unazingua mi nimedeposit tangu monile mpaka kwa saa hii nothing going on daaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Voda kutakuwa na shida,mm pia haijaingia mpaka muda huu.Mbona mimi nimedeposit sasa hivi na hela imeingia muda huo huo kama mnatumia voda tatizo litakuwa voda maana mimi nimetumia tigo
Niaje!Ubora wa virtual ni mtaji wako
Hadi sasa nina 500000 Tsh
Nacheza over 1.5 odds ni 1.25
Mbona ipo sawa tu hebu jaribu kreflesh, coz mimi nimeweka pesa sasa hivi na imeenda
Jaribu ku refresh page! Pia inahitaji Strong network!Niaje!
Hii virtual mbona kwangu sioni option yoyote ya kuweka ubashiri..
View attachment 561168
Hicho ndo kinaonekana..
Msaada tafadhali.