Mkuu unauhakika na mechi ya Juventude? na wasiwasi na hiyo mechi.Juzi juzi tu mwezi wa tisa goli moja tu ndo limepatikana.Last time wametoka 3+ was 2007 kurudi nyuma, which is a long time.
Hizo timu zote zimeniangusha mkuu dah nimejuta mkuu
 
Aisee buddy niitie Wakusoma&Mtoto wa nzi hapa wambie waweke hata elfu tano hapa na wengine pia hela ya mchana yaweza patikana hapa.
Singapore.
Albirex Niigata 2.30
Hougang over 2.5 odd 1.57


Mkuu ungenitia lawamani ... teh te teh
 
Odds 4.18 ...

upload_2016-10-20_17-29-40.png
 
Maisha n safar pia beting n safar bas mwenzenu nmesafiri na,mabas haya mawili mungu asaidie nifike salama
1476975289258.jpg
1476975327780.jpg
 
Back
Top Bottom