godizila
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 849
- 384
Yaa mr umefikiria mbal kama mm nimemquote ila haja nijibu kuhusu vigezo atupe ushauri na ssMkuu unatumia vigezo gani kufanya uchambuzi wa half time?
Yaa mr umefikiria mbal kama mm nimemquote ila haja nijibu kuhusu vigezo atupe ushauri na ssMkuu unatumia vigezo gani kufanya uchambuzi wa half time?
Huu mkeka nimeuelewa.LEO NIMETEMBEA HIVI
JUVE W
Lyon W
Valencia W
Inter W
Zenit W
Marseille DC
Stake buku 5 = efu 58
Duuu aisee ilibaki kidgo tu umlize mla pilipiliJana nilitest odd na option za kibabe....kilichotokea zile opt nilizorudia rudia ndio zimenicost
View attachment 633497
Namtengenezea pilipili yake... ya jana haikuwa kaliDuuu aisee ilibaki kidgo tu umlize mla pilipili
Kampuni gani hiiKwa Jero itapendeza zaidi, odd na Opt zakibabe....View attachment 633511
Mikeka ya hivi naikubali sana... Viodd vidodogo vinacost sana dawa ni kutokurudia tu options.Kwa Jero itapendeza zaidi, odd na Opt zakibabe....View attachment 633511
Ebwn Mr.Q naona upepo wako wa hatari saivMr noble
kama hukufuata hii mikeka na mwingine yeyote akiye sema ni shee nisisikie tena mtu akisem niweke mkeka. maana mkuu alisema hapangiwi hahaha natania tu
najipatia hapa sh 89'000/- kwenye huo mkeka wa pili ungerisk elf tano kesho ungepiga supu ya sh elf 89
won! won! won! won! won!
View attachment 633296
Stamina:MADRID KACHANA MKEKA
Jana Osijek ndiyo kaniharibia sherehe
Ngja nitembee na nyota yako mkuuLeo tena laki 8. Kama una mtaji mkubwa jaribu hii hata laki weka! Kama unaweza mweke marseille.x na kama kampuni unayo bet kuna team za CostaRica mtafte mtu anaitwa “LIMON FC mpe BTS huwez kukosa! Huu mkeka leo mashaka ni (schalke na Lyon) ila ndo risks! Best of luck
Yaan mpak mhindi aache biashara safar hiiMakamanda Amani ipo? Naona vita inaendelea vita ni vita mura hadi muhindi ajisalimishe ha haaa
First half under 2.5, au over 0.5 inalipa ingawa Odds zake ni kiduchuShukran kwako mzee nakuelewa na tips za 1st half....uko vzr big up
Kabisa...... mimi nimestop kwa mda kutokana na Kanji kunipurua mitaji yote ila next month mapema nitakua vitani Full Armed!Yaan mpak mhindi aache biashara safar hii