Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,956
- 8,971
Duhhhh GG ya mbiiiindeeee
Bhana weeh ,,,, tumeyakanyaga leoHuku Tottenham kula Arsenal
mroho ngumu xana mnaocheza option ya GG! Hii option ikitokea timu moja imepata kadi nyenkundu then scoreboard inasoma 0-0 hali huwa tete!Duhhhh GG ya mbiiiindeeee
Mwanaume kabutua mil 13 kwa 400..Atakuja mtu atasema kala elfu 80000 kwa jero tu kesho hapa.na code katuma. Ili tu awe tofauti na nyie wte humu ndani.
Kumbe huwa mnaleta mikeka ya nje, ndio maana mnachanganya watuMwanaume kabutua mil 13 kwa 400.. View attachment 2856116