Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,953
- 8,969
Haya Tusafiri hapa
WEKA 200 tuliaaa
WEKA 200 tuliaaa
Sawa tu tuangalieSimba umekuwa mpole
Shortly wewe ndio imeanza kupanic mapemaaa.
Leo zipo Mechi zaidi ya 15 zenye kuweza kufanya lolote,Acha Bahati itembeee Mda
Hii ni Bahati Nasibu.
Yaani leo kuna watu wamekuwa Mshahara mzimaaaa.Walet zimeraruka vibaya mnoooo
Matumizi ya December yooote yamekatika.
Issue nikwamba Mechi ziliachiwa gape,sasa zile Rebet ndio ziliendelea kutafuta nafsi.
Kuna watu hawajaamka mpaka sasa
✅✅✅Wydad Vs Simba
Both teams to score - NO
1xbet: VM7PQ
*Stake high
sio kweli mbona mimi jana nimekula na mara nyingi tu nakula na code naokota humu humuKwakweli sielewi
Japo betting haina uhakika ila kuna zile code unatuma ukitarajia kupata lakini mambo yanakuwa sio mambo
Huu uzi una gundu
Codes nilizowahi kuweka hapa kati ya 10 zimetiki 4 tu
Soma nilichoandika mstari wa mwishosio kweli mbona mimi jana nimekula na mara nyingi tu nakula na code naokota humu humu
Nakushauri kama mwanangu..hii nguvu tumia kwenye sportybet utapata matreni yenye faida kwa odds ndogo tu2C24B20 treni BP odds buku tu! treni hili litamaliza machungu kwa wote tuliopigwa na kitu kizito jana!
Sasa huko ulifuata nini tena kiongozi....nyie mtakuja mnifanye na mimi nije kuwa tapeli... kwasabab me huisi zama hizi za utandawazi na exposure kumtapeli mtu kwa mtindo huo ngumu haswa kwa njia ya mtandaoHuyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
nisomee weweSoma nilichoandika mstari wa mwisho
Duuh ila fresh5C6C887 sportybet
Tshs 10 katika ubora wake
Hii kampuni haina faida yoyote lakini watu mnakomaa tuuu8233DF2 Bp tujaribu
kwani bonus zao sporty zinaanzia kwa odds ngapi au wanazitoa kwa namna gani? nieleweshe hapo nijue.,Nakushauri kama mwanangu..hii nguvu tumia kwenye sportybet utapata matreni yenye faida kwa odds ndogo tu
LimbwataHii kampuni haina faida yoyote lakini watu mnakomaa tuuu
Mi cjui hayo ila unda mkeka wenye timu hizo hizo uone...kwanzia kwenye odds mpaka bonus ikiwa treni la odds nyingi kama 100 kuandendelea utaona sporty Kuna hela zaidi ya Mara tatukwani bonus zao sporty zinaanzia kwa odds ngapi au wanazitoa kwa namna gani? nieleweshe hapo nijue.,