Mikasa ya mahusiano ya shule

Hayo mahusiano yalikiwa yanajulikana shule nzima kuna siku ikaitishwa kura ya shule nzima watu kutaja nani anatoka na nani. Kwenye hiyo kura na Mimi na pisi yangu tumo with flying colors ila tuliponankwasababu mwalimu aliyekuwa anaendesha Hilo zoezi alikuwa mshikaji wangu kwasababu nilikuwa nafanya vizuri sana somo lake ndio pona pona yetu
 
Namshukuru Mungu sana kusoma na umri mdogo .La kwanza mpaka la saba nilikuwa sielewi chochote kuhusu mapenzi.Form 1 mpaka 3 nilikua bado pia na nilikuwa na bahati mbaya .Sikumbuki kama kuna binti yoyote alishawahi kunipenda mimi.Kidato cha nne ndio nilianza kupenda .Nilimpenda binti mmoja kutoka ndani ya moyo wangu.Wana walishaniletea mpaka room nipige dudu nikashindwa.Huyu nilikutana naye tena chuo akaonesha interest ila kwa mali nilizokutana nazo nilikuwa namuona kibungo tu.Nimechoka ila chuo ndio nilipata mwanamke alienipenda tuna mtoto mmoja.Kwa sasa nimekuwa kamalaya na kalevi namsumbua tu mtoto wa watu.Mungu nisaidie.
Kibungo
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Nikiwa O level, nlikua na Ba tamuu, ila shule tofauti.

Tulikua tuna meet wakat wa likizo, sasa tulkua tunasoma tuition, tukitoka tunazurura town, tunapita cafe na bakery, ila kujunjana nilikua muoga,

Nilivyofika Advance ndo nilifaidii mahusianooo, nisiseme sana.
 
nimechekaa had baas.
Udugu yule jamaa alinirudia kuniambia ananipenda baadae uko na kizawadi cha simu kutoka Japan ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kanikuta lamomy, nimekuwa Lamomy kweli!!
Alikuwa anapenda kuniita Beyonce na me namuita Jigga na lile body lake na ameenda hewani bas tafrani alikuwa anacheza basketball. Siku tunakutana na wale rafiki zake wakawa wanamwambia โ€œkwahiyo mwanetu kipindi kile ulikuwa unatu snitch?โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nikiwa O level, nlikua na Ba tamuu, ila shule tofauti.

Tulikua tuna meet wakat wa likizo, sasa tulkua tunasoma tuition, tukitoka tunazurura town, tunapita cafe na bakery, ila kujunjana nilikua muoga,

Nilivyofika Advance ndo nilifaidii mahusianooo, nisiseme sana.
Yaani ndio ulianza kunjunjwa
 
Nikiwa O level, nlikua na Ba tamuu, ila shule tofauti.

Tulikua tuna meet wakat wa likizo, sasa tulkua tunasoma tuition, tukitoka tunazurura town, tunapita cafe na bakery, ila kujunjana nilikua muoga,

Nilivyofika Advance ndo nilifaidii mahusianooo, nisiseme sana.
Wenye thread zenu pendwa mmeingia,kwahiyo hutaki kusema walikukula ukiwa mdogo? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ngoja nikalime,mnatudanganya sana๐Ÿคฃ
 
Udugu yule jamaa alinirudia kuniambia ananipenda baadae uko na kizawadi cha simu kutoka Japan

Kanikuta lamomy, nimekuwa Lamomy kweli!!
Alikuwa anapenda kuniita Beyonce na me namuita Jigga na lile body lake na ameenda hewani bas tafrani alikuwa anacheza basketball. Siku tunakutana na wale rafiki zake wakawa wanamwambia โ€œkwahiyo mwanetu kipindi kile ulikuwa unatu snitch?โ€
usinambieee, uduguu mbna pambeeee.
 
Back
Top Bottom