KabisaaaWatu wanalalama lakini bado wanafuatilia uzi, huku wamenuna
Mleta mada usifanye hivyo
.... hao wageni si wafike tu.
Moja ya comment bora tangu kuanzishwe kwa jamii forum..Nmekmbia Facebook kumbe hata huku Kuna mambo ya ajabu
DHArauMleta uzi hizi ni zarau ujue nakuona online kabisa alafu huleti muendelezo wa story yako izo zarau mzee
😀😀😀Nmekimbia Facebook kumbe hata huku Kuna mambo ya ajabu
Asante oni sigalaDHArau
Tena za mtume PauloNi hadith kama zile za Mtume au za abunuas