gaintoo broisser
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 307
- 378
Nakumbuka siku nilifungua ofisi moja ya kurusha miziki ,nilienda kwa mama mmoja anitayalishie dawa ya kuleta wateja wengi waje niwachomee miziki na movie.
Alinipa dawa nne mfano wa irizi ya kwanza akanambie niichimbie mbele ya flame yangu ya ofisi yangu
Ya pili niiweke kwenye sehemu ninapoweka pesa zangu kuepusha chumaulete.
Ya tatu niiweke kalibu na mashine yangu (kompyuta) ili kuepusha watu kuifanyia mambo ya ushilikina ,isiwake au kuhalibika halibika
Ya nne nilikaa nayo ilikuwa irizi nyekundu niliambiwa niweke mfukoni
Nilikuwa napiga pesa kinoma kwa siku nilikuwa natoka na 30k apo nishakula na luku nishaweka bajeti pembeni , kuna vitu nilikuwa naviona ambavyo si vya kawaida nikiwa sina wateja nawaza ofisi yangu imejaa wateja hadi wengine wamekosa siti ya kukaa, na kweli bwana baada tu ya mda watu walifulika wengi niliwahudumia wote uku jiran ana huduma kama yangu lakini hawakwenda nilitoka na 80k siku hyo
Yule mama aliniambiaga uje uludi tena nikutengeneze dawa ya watu wakija kwa nia mbaya ofisi hawata Iona Ofisi
itaendelea wakuu..