Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,967
- 32,265
Kichwa cha Habari Chahusika.
Jamani Member wenzangu wa ChitChat mnaonaje tukawekeana Mikakati Ya Kuanzisha Party Maalum kila Mkoa kwa Ajili ya Wana ChitChat pekee..???.
Si lazima Tusaze,Kukutana nako ni Party Tosha.
Ila Nashauri Wageni Waalikwa wawe MMU na Jukwaa La Siasa.
Asanteni.
Naomba Upendekeze Mkoa au Nchi uliyopo na Majukumu Yako.
Naanza:
Mimi nitakuwa Mweka Hazina.
Na ukumbi uwe Uwanja wa Fisi Manzese.