Migodi hatarini kufungwa kufuatia agizo la Rais Magufuli

Unaongea vitu vikubwa sana kwa akili za gavana wa bank kuu achilia mbali waziri kuzielewa, magufail hakuna anachokijua zaidi ya "hewa, Kira mahari ni hewa tu"
Hahaha eti kila kitu hewa hewa tu.sasa amekalia kiti cha nn badi ata yeye ni hewa
 
Nimekuwa mfanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu kwa muda wa miaka 9 na ninachofikiri watu wanatoa mawazo yao hawaelewi nini kinaendelea pale.si vibaya tukieleweshana Bulyanhulu wanazalisha mchanga ambao unaitwa copper concentrate concentrate inajazwa kwenye contena za ft 20 na inasambazwa vizuri kwa usawa na kupimwa uzito na baada ya hapo sample zinachukuliwa.kwa kifupi kuna Dhahabu shaba na fedha. Hapa tuwe makini sample zinachukuliwa na kampuni na zinafanyiwa analysis na sgs pale pale mgodini na watu wa TMAA nao wanachukua sample na wanaenda kudanya analysis wanapokujua wao serikalini na hii ni kwa kila contena baada ya hapo macontena yanayosafirishwa kila kitu kinakuwa wazi kuna shaba kiasi gani dhahabu na fedha na ndiyo mafisa wa TRA na TMAAwanakuja na kuweka seal macontena yotekabla ya kusafirishwa hivyo hakuna wizi unafanyika watu amuelewi na hata hao maafisa wa TRA na TMAA wanajua ukweli. Kwa taarifa hata hizo smelting company kabla ya kuprocess nao wanachukua sample na kuzifanyia analysis kama zinaendana na zile ambazo zimetumwa na kampuni na kama deviation ni tatizo.
Kwa hiyo ndugu zangu watanzania tusishabikie vitu ambavyo hatuvielewi hata matofari ya dhahabu yanayozalishwa nayo yanapelwkwa kwenye smelting kwa ajili ya kupata pure gold sababu yote yanayoAlishwa kuna impurities zamadini mengine.
Watu wa TMAA wawaeleze ukweli wanancho kuliko huu upotoshaji unaofanyika
Asante kwa taarifa mkuu shukran acha watu wazidi kupuyanga kumbe hawajui chochote
 
Watu wasichokijua ni kwamba Bulyanhulu hatuna copper ore kama ilivyo kwa Zambia au DRC. Pale Bulyanhulu kuna gold ore, copper na silver ni trace amount ambayo huwezi kufanya extraction. Acacia wanachofanya ni concentration. Na ule siyo mchanga wenye dhahabu bali ni mawe yaliyosagwa, dhahabu ikaondolewa. Kukabakia kiasi kidogo sana cha dhahabu, copper na silver kwenye mawe yaliyosagwa. Kiasi kile ukisafirisha kama kilivyo huwezi kupata faida. Wanafanya concentration kwa kuyapatia yale madini artificial behaviour. Baada ya concentration, mchanga uliokuwa, kwa mfano, na 0.01% copper, utaweza kufikia hata 10%. Lakini mchanga huo wa container 1 wenye 10%Cu umetokana na mchanga zaidi hata ya containers 100 za ore ya kawaida iliyokuwa na 0.01% copper.

Swali linakuja, unaweza kutengeneza plant ya kufanya uchenjuaji wa mchanga unaohesabiwa kwa containers? The answer id no. You need hundreds of tons to have a processing plant which we do not have. Swali rahisi, hivi unaweza kununua mashine ya kusaga mahindi kwa sababu kila mwaka unapata magunia matano? Ipi ni economically viable, kubeba magunia matano na kupeleka kwa mwenye mashine au kununua mashine yako? Japan imewekeza katika teknolojia hiyo. Inapokea thousands of concentrate containers from all over the world including technologically advanced countries like Australia.

Uamuzi wa kuzuia concentrates kwenda nje hautasababisha plant kujengwa nchini, sitarajii. Labda kitakachotokea ni kutokuchenjua madini ya shaba na fedha.
Rais huyu anaongea sana kama kasuku,, yeye amekaririshwa kwamba mle kweye mchanga kuna dhahabu ndo maana jamaa wanasafirisha. Ila asitegemee kama eti mitambo ya kuchenjua mchanga itajengwa Lindi ili watu wapate ajira, huo ni uongo wa karne!!
 
Rudia tena kujifunza maana naona umekariri periodical table ukaona na wewe utoe comments. Tanzania hakuna precious au base metals zinazo tokana na sulphates. Sulphate zinazopatikana Tanzania ni kama gypsum.
Kuhusu kuibiwa ni nadharia iliyo jengeka Tanzania kila aliye nacho hajapata kwa nguvu na maarifa yake bali kwa wizi. Wataalam wa serikali kupitia TMAA walifanya utafiti katika ya mwaka 2014 na 2015 uwezekano wa kuanzisha smelter and refinery hapa Tanzania ili by products za Bulynkulu na Buzwagi ziwe processed hapa...Ripoti yao ipo kwenye mtandao wa MEM jipatie nakala ili ushibishe ubongo. Jibu by product zetu combined haziwezi kuhalalisha ujengwaji wa s na r hapa. Kama kuna faida basi serikali au watanzania wengine wachangamkie fursa hiyo wajenge na Acacia watapeleka hapo. Nchi nyingi Duniani kama Canada,Australia,Indonesia nk wanapeleka Japan sisi tu ndo tunaibiwa....kazi kweli kweli

Mahitaji ya smelters ni mitaji mikubwa kwani gharama za uendeshaji ni kubwa sana. Mathalani,ili kufanya uchenjuaji wa Ni na Co hapa nchi mgodi wa Kabanga utahitaji umeme wa kiasi cha 80MW kwa siku. Wakitengeneza concentrate peke yake watahitaji 40 MW huo umeme uko wapi? Na tambua mpaka sasa migodi mingi umeme wa Tanesco ni kwa ajili ya dharura tu hivyo umeme ni wa diesel generator....sasa hiyo ni migodi ya dhahabu peke yake je smelter??
Experts wakibongo kila kitu kwenu hakiwezekani au siyo? Lakini Mjapani na wazungu wanaweza. No wonder mnasoma sana lakini hamwezi Ku innovate chochote duniani kwasababu kila challenge kwenu ni obstacle na siyo opportunity.
 
Naangalia naona akili za watanzania zilivodumaaa jana share za acacia ktk stock markt zimeshuka kwa 18℅ sasa angalia impact kwenye export mapato, kodi za ndani, employment zote zitakula kwa watanzania dah kuna mtihani mkubwa unakuja

Kabla sijajibu hii hoja kiutaalam, BAFA, we ni raia wa wapi? Naona kama kwa madai yako, akili yako wewe haijadumaa!
 
Nimekuwa mfanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu kwa muda wa miaka 9 na ninachofikiri watu wanatoa mawazo yao hawaelewi nini kinaendelea pale.si vibaya tukieleweshana Bulyanhulu wanazalisha mchanga ambao unaitwa copper concentrate concentrate inajazwa kwenye contena za ft 20 na inasambazwa vizuri kwa usawa na kupimwa uzito na baada ya hapo sample zinachukuliwa.kwa kifupi kuna Dhahabu shaba na fedha. Hapa tuwe makini sample zinachukuliwa na kampuni na zinafanyiwa analysis na sgs pale pale mgodini na watu wa TMAA nao wanachukua sample na wanaenda kudanya analysis wanapokujua wao serikalini na hii ni kwa kila contena baada ya hapo macontena yanayosafirishwa kila kitu kinakuwa wazi kuna shaba kiasi gani dhahabu na fedha na ndiyo mafisa wa TRA na TMAAwanakuja na kuweka seal macontena yotekabla ya kusafirishwa hivyo hakuna wizi unafanyika watu amuelewi na hata hao maafisa wa TRA na TMAA wanajua ukweli. Kwa taarifa hata hizo smelting company kabla ya kuprocess nao wanachukua sample na kuzifanyia analysis kama zinaendana na zile ambazo zimetumwa na kampuni na kama deviation ni tatizo.
Kwa hiyo ndugu zangu watanzania tusishabikie vitu ambavyo hatuvielewi hata matofari ya dhahabu yanayozalishwa nayo yanapelwkwa kwenye smelting kwa ajili ya kupata pure gold sababu yote yanayoAlishwa kuna impurities zamadini mengine.
Watu wa TMAA wawaeleze ukweli wanancho kuliko huu upotoshaji unaofanyika
Hudanganyi mtu bado wanachakachua tu ni kama suala la mafuta. Watu kwenye hizo taasisi wanapozwa na vitu vinapita.
 
Migodi ya Bulyanhukulu na Buzwagi hatarini kufungwa kutokana na agizo la Rais Magufuli.

View attachment 476601
Migodi ya Bulyanhukulu na Buzwagi hatarini kufungwa kutokana na agizo la Rais Magufuli.

View attachment 476601
Nafikiri Magufuli kawashikia PABAYA na wanasikia MAUMIVU.
Kila kiongozi huja na mtazamo wake.
Mchanga waliotuibia miaka hii yote umetosha.
No black mail.
The sleeping giant is WAKING UP.
Therefore no more UJANJA!!!
 
Tuliomba mikataba kama hiiwe wazi na ijadiliwe bungeni serikali ikasema ni siri yao, sasa kama ni siri nyie mnaomuunga mkono Jpm huku hamjui chochote kuhusu mikataba hiyo ndio kusema nyinyi ni nyumbu?
 
Watu wasichokijua ni kwamba Bulyanhulu hatuna copper ore kama ilivyo kwa Zambia au DRC. Pale Bulyanhulu kuna gold ore, copper na silver ni trace amount ambayo huwezi kufanya extraction. Acacia wanachofanya ni concentration. Na ule siyo mchanga wenye dhahabu bali ni mawe yaliyosagwa, dhahabu ikaondolewa. Kukabakia kiasi kidogo sana cha dhahabu, copper na silver kwenye mawe yaliyosagwa. Kiasi kile ukisafirisha kama kilivyo huwezi kupata faida. Wanafanya concentration kwa kuyapatia yale madini artificial behaviour. Baada ya concentration, mchanga uliokuwa, kwa mfano, na 0.01% copper, utaweza kufikia hata 10%. Lakini mchanga huo wa container 1 wenye 10%Cu umetokana na mchanga zaidi hata ya containers 100 za ore ya kawaida iliyokuwa na 0.01% copper.

Swali linakuja, unaweza kutengeneza plant ya kufanya uchenjuaji wa mchanga unaohesabiwa kwa containers? The answer id no. You need hundreds of tons to have a processing plant which we do not have. Swali rahisi, hivi unaweza kununua mashine ya kusaga mahindi kwa sababu kila mwaka unapata magunia matano? Ipi ni economically viable, kubeba magunia matano na kupeleka kwa mwenye mashine au kununua mashine yako? Japan imewekeza katika teknolojia hiyo. Inapokea thousands of concentrate containers from all over the world including technologically advanced countries like Australia.

Uamuzi wa kuzuia concentrates kwenda nje hautasababisha plant kujengwa nchini, sitarajii. Labda kitakachotokea ni kutokuchenjua madini ya shaba na fedha.
Kwann unaji underate kiasi hicho. Kwann unasema mchanga wenye concentrare ya 0.01% kwann usiseme wenye 8%. Hauwezi kuwa mtumwa wa mawazo kias hicho. Hata zambia wakati wa Chiluba wawekezaji waliua uchumi kwa sabb kama hizo kuwa cupper concentrare imepungua sana so wakawa wanaenda ku extract nje ya nchi. Lakin serikali ya Michael Sata iliwapiga marufuku. Na wakaendelea kufanyia ndan ya nchi.

Hebu jiamin, acha utanzania wa kina Kikwete kuwa nyie ni watu wakuonewa huruma tu. Hamna mnachojua wala mnachoweza. Just do it. Yes we can.
 
Tanzania haina uwezo wa kusafisha hizo concentrates hapa nchini. Hakuna technology hiyo hapa. Not in the next 100 years.

Pili hakuna mwekezaji atakayewekeza katika biashara ya kusafisha mchanga Tanzania kwa sababu hatapata faida. Economies of scale.

Serikali inapoteza mapato kwa kuzuia mchanga.

Wizara inaelewa kila kitu ila woga wa kumweleza Mkuu. Ndiyo maana alivyosema mara ya kwanza wizara ikageuka na ikaruhusu exportation ya mchanga.

Tunashabikia kwa hisia tu lakini ni another case ya kukurupuka.

Mtu huyu huyu anataka foreign investment iongezeke. TIC wana kazi.

Muda utaongea.
 
Safiii kama nikweli nivyema sheria ikapitiwa upya na iwe hivyo hakuna kusafirisha udongo
 
Kwa hili bila soni namuunga mkono Maghufuli. Hii mikataba mibovu ilikuwa na 10percent za watu tena ndani ya system. Wafunge mazungumzo yafanyike upya
Pia rais alisema wawekeze kwenye mitambo ya kuchakata huo mchanga hapa nchini ili iwe rahisi kuhakiki kinachopatikana. Kwa nini hawataki? Kama kuna ugumu wamweleze waziri ili wawezeshwe.
 
Tanzania haina uwezo wa kusafisha hizo concentrates hapa nchini. Hakuna technology hiyo hapa. Not in the next 100 years.

Pili hakuna mwekezaji atakayewekeza katika biashara ya kusafisha mchanga Tanzania kwa sababu hatapata faida. Economies of scale.

Serikali inapoteza mapato kwa kuzuia mchanga.

Wizara inaelewa kila kitu ila woga wa kumweleza Mkuu. Ndiyo maana alivyosema mara ya kwanza wizara ikageuka na ikaruhusu exportation ya mchanga.

Tunashabikia kwa hisia tu lakini ni another case ya kukurupuka.

Mtu huyu huyu anataka foreign investment iongezeke. TIC wana kazi.

Muda utaongea.
Uzalendo umeuweka mfukoni ama nini
 
kwa kuweka sawa tu, hawa watu waliingia mkataba wa kuchimba dhahabu pekee, ambapo serikali inakata kodi, lakini hizi wanaiita masalia by products(concentrates) hizi hazipo kwenye mikataba inawezekana kabisa zilikuwa hazikatwi kodi,

concentrates/by product masalia, huu ni muunganiko wa madini yenye ukaribu sana kwenye periodict table, kama SILVER,GOLD,COPPER NK.
haya yote yanapatikana kwenye sulphate ores, ambayo kwa teknolojia ya kawaida wanayotumia hawawezi kutenganisha..

lakini hili ukiangalia wamefanya hivi kwa makusudi tu kama tukiwazuia watatafuta njia mubadala tekinolojia ya uchenjuaji inakua kila siku..

kama wakiona vipi waende tu lakini najua ndo mwanzo wa kuja na njia mpya au kurudi mezani tena.
Serikali ijenge mtambo ili hizo concentrate zisiende nje
 
Good point.Na kusema kweli mining Industry imedorora sana kwa sasa Tanzania investors wanapita zao haooooo West Africa
Kwaiyo tuendelee kuonea wivu (west Africa) hata km wanaibiwa. Kwani kinachoangaliwa ni usahihi wa ishu au wapi wanakwenda?!
 
Back
Top Bottom