Migiro Kuigharimu Tanzania

Inabidi agombee Ubunge kwanza, maana nafasi za wabunge wa kuteuliwa na Rais zimeshajaa. Inabidi auwahi uchaguzi mdogo jimbo la Segerea kama atapita.

Kijana raisi jk ameshateuwa nafasi 3 tu kati ya kumi nazo alimteaua Shamsi Nahodha,Prof Mbalawa, na bibi Meghi
 
Hali inazidi kuwa mbaya nchini huku migomo baridi ikizidi kuathiri maisha ya watu wa hali za chini wanaotegemea hospitali za serikali, shule za serilkali nk. Umeme pia unazidi kuua uchumi huku mawaziri nao wakiwa wamekaa mkao wa chukua chako mapema. Huu ukweli utajulikana litakapotangazwa baraza jipya la mawaziri.
 
kuna yule mama alikuwa speaker wa bunge la africa kula pretoria Getrude Mongella,alikimbizwa kwa sababu ya poor perfomence,aibu kwa tanzania aibu kwa ccm

Migiro ni mbunge wa wapi? au atateuliwa? wanawake wakiwezeshwa wanaweza lakini migiro na mongela wamewezeshwa wamevurunda! huku nyumbani tuna Ana makinda bila kumsahau Sofia anayetaka wake zetu watunyime uroda! kweli hii sera ya upendeleo kwa wanawake inatucost!
 
Kuna nafasi za Rais za wabunge wa kuteuliwa. Na ndio maana tunasema jambo hili linaigarimu Tanzania, maana mchakato wake ni mpaka Migiro atakapomaliza mkataba wake Mwezi June. Kuhusu Migiro, Mongela nk kuchemsha hilo ni kweli japo kuna wanawake wenye uwezo kama Mama Sitta, Mama Kilango nk. Maana hata tuliposema vijana wapewe nafasi za uongozi hatukumaanisha vijana aina ya Adam Malima. Wapo wengi wenye uwezo
 
UN ni shirika very bureaucratic na process/procedural based. Mambo yake yanaenda kwa snail's pace sababu ya urasimu mrefu sana. Ni vigumu sana kwa mtu aliyeteuliwa kutokea nje kufanikiwa katika nafasi aliyokuwa nayo Mama Migiro. Nafasi yake ili ni more administrative na inahitaji magwiji wa urasim wa UN ambao wamekaa mle kwa muda mrefu. Ndo maana Koffi Annan wa Ghana alifanikiwa sana kama Secretary General; sababu alitokea mle mle ndani. Mama Migiro hakuwa na uzoefu wowote wa kufanya kazi UN, akadondokea moja ya nafasi za juu sana ambazo warasimu wazoefu mle huwa wanazitaka sana kwani wanaona ndo kilele cha mafanikio. Ni wazi, pamoja na support ya BKM, hajaweza kufanikiwa kiasi cha kuongezewa mkataba.

Kuhusu kuwa waziri wa hapa Bongo, hiyo ni kazi rahisi sana kwani hakuna Vigezo vya kiutendaji (performance indicators) vinavyopimwa kwa mawaziri. Waziri hufanya chochote tu na kufanikiwa kwake au kutofanikiwa kwake hutegemea na wale waliomteua wanataka afanye nini. Mfumo wa utendaji wa mawaziri hauko wazi sana kwa watu kuweza kusema waziri fulani kafanikiwa au la. Ndo maana mawaziri wengi unaona ni kuwa wapo wapo tu!
 
Mawaziri baadhi wameandika kujiuzulu. Lakini tusubiri response ya JK. Nadhani mtaelewa tunachomaanisha !
 
Wabunge watajisumbua bure na vote of no confidence. Suala ni kuwa mpaka migiro arudi
 
Wabunge watajisumbua bure na vote of no confidence. Suala ni kuwa mpaka migiro arudi

sometimes humu kuna watu wanasikitisha MBONA KUNA KAMPENI KUBWA migiro, migiro, migiro,migiro,migiro,migiro,migiro,migiro.migiro,migiro...................whos is migiro? ana nini cha ajabu hadi aweze kulikomboa taifa la tanzazia ambalo kwa sasa linhitaji kiongozi mzalendo, makini, asiyeteteraka na anaetisha watu ili wachape kazi? give me a break, migiro,migiro,migiro~!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hata uwaziro mkuu hauwezi ni yale yale!!!
 
Na huko un kafanya nini cha ajabu zaidi ya kuuza sura....????.....mitanzania mijitu ya ajabu sn kuanzia rais wao wa ajabu...ajabu tu
 
migiro atagombea ubunge segerea, atapita kwa gharama yoyote halafu atachukua nafasi ya pinda fasta, kama huamini subiri matokeo ya segerea yabatilishwe uone muziki!
 
kwani binti migiro nae ni mbunge wa wapi???????

Mkuu N series, naomba nikukumbushe kidogo. Kikwete ana nafasi za kuteua wabunge kumi, nadhani ameshawateua watatu kama niko sahihi, if not naomba kurekebishwa. Atakachofanya Kikwete hapo Juni ni kumteua Migiro kuwa mbunge mara afikapo bongo, then anamteua kuwa waziri. Upo hapo?
 
Nitapenda sana huyo Mh. Asha Migiro ateuliwe kugombea URAIS 2015 ili aweze kuilaza SSM mahali pema peponi. Kamati KUU ya SSM, please do the needful!!!
 
Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.

Radhia Sweety; Why do you think Migiro is not presidential material?
 
Last edited by a moderator:
Hajawah kugombea na hajawah kushinda ni mtu wa kuteuliwa tu hata unaibu ameupata kwa kuteuliwa .sidhan kama atataka kujitia aibu segerea .
 
migiro atagombea ubunge segerea, atapita kwa gharama yoyote halafu atachukua nafasi ya pinda fasta, kama huamini subiri matokeo ya segerea yabatilishwe uone muziki!

Tunamsubiri Segerea tumuoneshe kuwa ccm imeshakufa si alikuwa hayupo tanzania! Kwahiyo hajui kuwa ccm iko taabani!
 
Anayeandaliwa mara nyingi hufichwa ili asipatwe na kashisha; tetesi ni kuwa anaandaliwa kupeperusha bendera ya CCM 2015 kumrithi JK. Tz inamfumo mgumu usioeleweka wa kumpata candidate wamtakaye. CCM ikimtaka yoyote yule jua imepita.
 
Ban ki Moon kaona hawezi kuwa sehemu ya "timu ya kazi"!!
Hapa anasubiriwa awe sehemu ya nini?
 
Back
Top Bottom