Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.
Ndio maana unaona kina tuntemeke nawao hawapo nyuma hali hii sio kwenye serikali na chama chake tu hata kwenye vyama vyingine vya siasa.
sijakupata mkuu Tuntemeke ameingiaje hapo?Ndio maana unaona kina tuntemeke nawao hawapo nyuma hali hii sio kwenye serikali na chama chake tu hata kwenye vyama vyingine vya siasa.
Namitandao mingine nikama magazeti ya udaku kama ya shigongo siyakuya amini sana!
Hao TISS Anawatumia sana LKN ndiyo wapika majungu na kupeleka uongo pale wanaposhindwa kupata ukweli kwasababu wametumia tayari fedha za kufuatilia.Watu wenye uzoefu kama huu ndo wana uzoefu pia wa kuiibia nchi kuliko wale ambao hawana diplomatic experience ya kutosha. Kuna experienced diplomat kama Salim A Salim hapa nchini? Ni waziri wa nini yeye? Tuache kuamini kwamba nchi inaweza kwanda wakiwemo tu akina fulani wakati nchi ina wakaazi zaidi ya 40 milioni? Hivi unawezaje kunambia kwamba kati ya hawa wote hakuna mwenye uwezo kama wa Migiro? Haya ni matatizo ya kuthink within the box ya JK, hawatumii TISS wake kutathimini watu wanaofaa kuwa viongozi, badala yake anafikiria zaidi ulipaji wa fadhila na kujuana.
Huwa napata shida kuwaelewa watu wanaotaka mabadiliko ya mawaziri. Hivi mnafikiri kwa mfumo huu wa ccm linaweza patikana baraza zuri la mawaziri? Hata akibadili mawaziri sidhani kama itasaidia chochote zaidi ya kuingiza serikali kstika gharama na matumizi yasiyo ya lazima.Source: Inner City Press: Investigative Reporting from the United Nations, U.N. Officials Reluctant To Disclose Financial Relationships And Assets, Putting Spotlight On Ethics | Fox News, maoni binafsi na vyanzo visivyo rasmi.
Jitihada kubwa zilifanywa na Migiro binafsi na pia kuwatumia African Group of Nations kujaribu kuhakikisha Ban Ki Moon anabadilisha uamuzi wake wa kumtosa UN, lakini hilo halikusaidia kitu. Ban alishikilia uamuzi wake wa kuunda aliyoita 'timu ya kazi'. Sababu hazijawekwa wazi, lakini kama alivyobainisha Ban kuwa anataka ufanisi, ni wazi kuwa kulikuwa hakuna ufanisi.
Tayari ameshamteua mwanadiplomasia Jan Eliasson, raia wa Sweden, kuchukua nafasi hiyo ya Migiro. Migiro kwa mujibu wa mkataba wake, ataondoka rasmi UN mwezi Jun, 2012.
Hapa nyumbani, Tanzania kuna habari kutoka kwa insiders wa ikulu kuwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanasubiri kurudi kwa Migiro.
Maisha ya Watanzania yameendelea kuwekwa rehani kwa sababu ya mtu mmoja. Kuna matatizo makubwa Wizara ya Afya, Wizara ya Nishati na Madini nk, Mawaziri wengi hawapo ofisini kwa sababu za kiafya na wengine wameonyesha kushindwa, na baadhi wana kashfa. Lakini kwa sababu ya mtu mmoja, hakuna mabadiliko ya cabinet hadi atakapokamilisha mkataba wake UN na kurudi TZ ili naye apangiwe Wizara katika mabadiliko hayo.
Matatizo mengi ambayo nchi inapitia leo yanasababishwa na malengo ya 2015.
hInabidi agombee Ubunge kwanza, maana nafasi za wabunge wa kuteuliwa na Rais zimeshajaa. Inabidi auwahi uchaguzi mdogo jimbo la Segerea kama atapita.
Uongo mwingine, eti anangojwa ndio baraza la mawaziri lichaguliwe. Hivi lini mtapata akili?