sembuli
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 757
- 383
...Siku nyingine uwe Unafikiri kabla hujaandika neno hapa
nifikiri mara ngapi au unataka nitumie tumbo kufikiri kama wewe? narudia tena sekondari za kata hakuna waalimu, badala ya kujaza rundo la waalimu wa sheria udsm na kubana nafasi za ajira mpya kwa vijana ni bora akajitolee kufundisha sekondari za kata.
walimu ni mwalimu tu popote