MIGHT IS RIGHT; Hivi Wabunge hupigiwa saluti au wasiwasi wa Afande kwa Dogo Janja??

Kiganyi taratibu sinasema mtu yoyote ambaye kwa namna moja au nyingine ana hadhi ya kupeperusha bendera ya taifa kwenye gari lake atapigiwa heshima ya saruti kama ni askar au ni mtu yeyote aliapa chini ya rais au kaapishwa na mtu mwingine kwa mamlaka ya rais atapewa saruti
mgodi taratibu zinaeleza kwamba maiti yoyote ile iwe ya mtoto,mtu mzima,mwehu,mwizi,kiongozi lazima unapoaga au kukutana watu wamebeba maiti utapiga saluti.
lakini pia yapo magari yanapigiwa saluti je wajua hilo?utayajuaje niulize ntakueleza.nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Saluti hupigiwa viongozi wakuu wa kijeshi viongozi wakuu wa serikali na mtu yeyote anayeheshimiwa na anayepiga saluti.Hiyo ni salaam tuu ya kijeshi.
 
Viongozi wa kijeshi ni majeshi yetu yaani JWTZ POLISI MAGEREZA JESHI LA KUJENGA TAIFA kwa mujibu wa katiba ya nchi. Na viongozi wa juu wa serikali na mtu anayeshimiwa na mpiga saluti . Kama nilivyosema ni salaam ya kijeshi.
 
Saluti hupigiwa viongozi wakuu wa kijeshi viongozi wakuu wa serikali na mtu yeyote anayeheshimiwa na anayepiga saluti.Hiyo ni salaam tuu ya kijeshi.
kuna Askari aliteseka sana na kesi, siku jaji alipomwachia huru, akafunga mguu, akapiga saluti !
 
Kiganyi taratibu sinasema mtu yoyote ambaye kwa namna moja au nyingine ana hadhi ya kupeperusha bendera ya taifa kwenye gari lake atapigiwa heshima ya saruti kama ni askar au ni mtu yeyote aliapa chini ya rais au kaapishwa na mtu mwingine kwa mamlaka ya rais atapewa saruti
mgodi taratibu zinaeleza kwamba maiti yoyote ile iwe ya mtoto,mtu mzima,mwehu,mwizi,kiongozi lazima unapoaga au kukutana watu wamebeba maiti utapiga saluti.
lakini pia yapo magari yanapigiwa saluti je wajua hilo?utayajuaje niulize ntakueleza.nawasilisha

Mkuu..... ni SALUTI sio Saruti....ehee sema Saluti....
 
Back
Top Bottom