Hivi hii ni kiki au ni masharti wanapewa wayafuate ila hawawezi kufunguka hadharani

Genio the great

Senior Member
Aug 29, 2022
159
491
Nimekuwa nikifuatilia sana watu maarufu mbalimbali kuanzia ujio wa prophet lovy na watu wengine maarufu maarufu kama akina, Mond nk.

Na Leo nimeona kituko hiki Cha dogo janja unakuta wanakuwa na vitu vya ajabu ambavyo Huwa vinaleta maswali, kwasabu Kwa Hali ya kawaida ni ngumu kufanya wanayofanya.

unaweza jiuliza kama ni utajiri mbona Billgate anao lakini haonekani akionyesha mambo kama haya au mo dewji anao lakini haonyeshi haya

kwann hawa Huwa wanafanya hv wakati mwingine nikaenda mbali kidgo isije ikawa tunafikri wanapenda kufanya vile kumbe ni masharti ya waganga wao Ili wafanikiwe .

Mara utoboe pua , uvae heleni, usuke, avae macheni yenye kutisha shingoni na mapete makubwa makubwa, uvae shanga Kuna wasanii Wanavaa shanga.

Huku tunapoelekea tutakuwa na jamii ya ajabu zaidi ya sijui ndugu zangu hili mnalionaje
1702561193799.jpg
 
Nimekuwa nikifuatilia sana watu maarufu mbalimbali kuanzia ujio wa prophet lovy na watu wengine maarufu maarufu kama akina, Mond nk.

Na Leo nimeona kituko hiki Cha dogo janja unakuta wanakuwa na vitu vya ajabu ambavyo Huwa vinaleta maswali, kwasabu Kwa Hali ya kawaida ni ngumu kufanya wanayofanya.

unaweza jiuliza kama ni utajiri mbona Billgate anao lakini haonekani akionyesha mambo kama haya au mo dewji anao lakini haonyeshi haya

kwann hawa Huwa wanafanya hv wakati mwingine nikaenda mbali kidgo isije ikawa tunafikri wanapenda kufanya vile kumbe ni masharti ya waganga wao Ili wafanikiwe .

Mara utoboe pua , uvae heleni, usuke, avae macheni yenye kutisha shingoni na mapete makubwa makubwa, uvae shanga Kuna wasanii Wanavaa shanga.

Huku tunapoelekea tutakuwa na jamii ya ajabu zaidi ya sijui ndugu zangu hili mnalionaje View attachment 2842512
Hii ni ya zaman i think kuna Nyimbo alikuwa anashoot ni zaman sana
 
Uwoya Effect
 
Back
Top Bottom