Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,927
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Mission accomplished, kumkamata Kato hakurudisha Muna back to life
 
Hakika.
 
Tatizo la Rasta katumia simu na ukitumia simu kwenda kwa mnara ulio karibu ya eneo aliopo.

Sasa hapa polisi ndio wanajua Rasta yupo eneo gani nao wanatuma picha yake kwa polisi wa eneo husika.

Kama Rasta ange wacha wapigia simu watu wake wa karibu mbona asinge patikana milele.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
 
Kiufupi polisi duniani kote wana mitambo ya kusikiliza na kukutrack popote ulipo duniani kote.

Njia rahisi wakupate wana chukuwa namba za watu wako wa karibu kupitia mtandao wa simu.

Hapa hata kama utabadilisha namba wanajua huyu ni wewe kwa kupitia njia mbili sauti yako au wanamfata alie pigiwa atowe ushahidi kama kweli alikuwa mtuhumiwa alie ongea nae.

Mtuhumiwa kosa lake mara nyingi inayo sababisha akamatwe ni kufanya mawasiliano na mzee, mke, mchumba, ndugu au marafiki. Pia kutumia kitambulisho kama Passport au Nida kwa kusafiria au kusajili namba ya simu kwa kutumia vitambulisho husika.

Pia njia ya kutumia kutoa hela kwenye bank yake kwa 🏧 au tawi la bank hii hujua huyu mtu yupo eneo gani.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.
Wewe mnafiki mkubwa hopeless kabisa ulikuwa ukiponda sana Intelligence ya polisi na JWTZ ukwaita ohh Hawa walevi hawana lolote choka mbaya unajikomba sasa

Umeona mziki wao

Si ulikuwa unawaponda wewe
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.

Wewe ndio usingemaliza hata siku Mbili.

Ukishakuwa mhalifu wa kiwango cha muuaji au gaidi simu au chombo chochote cha mawasiliano ni mwiko kutumia.

Usipojiweka jela kwa hiyari yako mwenyewe kwa kujizuia kuwasiliana watakukamata ili wakuweke jela kinguvu.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Mbona hata mm nilikuwa najua ku set simu hasa Nokia inakuwa inasoma eneo la mnara nilipo mimi mwenyewe kiasi nilikuwa nikienda hata ugenini nabaini jina la eneo kuitia mnara.
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Nahisi tu sina uhakika kwamba, ile laini yako ya kwanza wanaangalia namba ulizokuwa unawasiliana nazo sana au ikibidi zote wanazitegeshea. Wewe utajifanya kubadili namba na kuwapigia watu wako kumbe namba zao zipo kwenye mfumo wanakusikiliza tu!

Ukitaka usipatikane, acha kutumia simu kajifiche huko ndani ndani!
 
Wewe ndio usingemaliza hata siku Mbili.

Ukishakuwa mhalifu wa kiwango cha muuaji au gaidi simu au chombo chochote cha mawasiliano ni mwiko kutumia.

Usipojiweka jela kwa hiyari yako mwenyewe kwa kujizuia kuwasiliana watakukamata ili wakuweke jela kinguvu.
Hata usipotumia chombo chochote Cha mawasiliano labda usipande hata basi

Mabasi Yana kamera ndani picha hurushwa Kwa vyombo vyote vya Usafiri utadakwa tu

Ukitumia Usafiri private Traffic wote wanakuwa na picha ya mhalifu ukisimamishwa gari watajifanya wanakagua ushushe vioo vyote wanakagua Hadi kwenye buti nk kumbe wanakuwinda mwenyewe
 
Kuna Mwamba nae kanipa Elimu kama hii yako Mkuu. Unataka kuniambia asingetumia Simu kamwe asingedakwa?

Ina maana Polisi wana Mtambo wa Kusoma Mnara ulioko na kisha wakaja Kukudaka kama Kuku Uvunguni mwa Kitanda?

Naomba kujua hasa Polisi hufanya nini ili Kumkamata Mhalifu aliyekimbia kwani hata Mimi sikutegemea huyu Dogo Kato Rasta kuwa angekamatwa wakati nilisikia kuwa alikuwa akitaka Kutorokea nchini Msumbiji.
Kuna njia nyingi. Njia ya moja iliyo wazi ni kuwajua ndugu, jamaa na marafiki zako wote halafu wanawafuatilia na ku-dukua mawasiliano yao. Kwa hiyo mhalifu hata akibadilisha simu na line yake akijikogonga tu akampigia mmoja kati ya ndugu, jamaa au rafiki wanaanza kumfuatilia. Pia wanaweza kuwa wanawafuatilia hawa watu physically, na kwa siri ili kuona kama wanafanya mawasiliano yoyote na mhalifu. Jambo la kukumbuka ni kuwa mtuhumiwa kama huyo alikuwa hajajiandaa namna ya kujificha na kutoroka kwani tukio lilitokea ghafla na bila kupanga. Hivyo jambo la kwanza walilofanya ni kufuatilia wale marafiki zake wa karibu au ndugu kwani hawa ndiyo walikuwa wanatoa msaada kwake. Kama kulikuwa na fununu kuwa anataka kukimbilia Msumbiji bila shaka ilikuwa ni suala la muda tu akamatwe.
 
Back
Top Bottom