Miezi mi-3 tu nakukinai, What is the problem??!!!!

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.

Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu iliyopita nimekua ni Mzee wa "Hit (Eat) and Run" toka miaka hiyo mpaka sasa.

Nimeshakua Na Wasichana zaidi ya watano toka Mwaka 2010 Na wote kwa sababu moja ama ingine tumeachana. Baadhi ya wadau wangu wananiambia kua inawezekana huyo nlieachana nae kabla ya hao naowapitia sasa kaniloga nisipate mwengine ingawa siamini uchawi.

Nikikaa na Mwanamke akfikisha miezi mitano basi ana Bahati sana, na labda atakua mvumilivu sana. Umri unakwenda na Maisha ndio haya.

Nishachangia sana harusi za Wenzangu, kiasi kwamba sasa nao wanamazimisha kunichangia sasa kwa mtu ambae hayupo.

Ndugu na Dada zangu wameshatambulishwa sana mashemeji na mawifi wapya kila kukicha mpaka sasa naona aibu mbele zao.

"Law of Diminishing Marginal Utility" imenia-affect kiasi cha kwamba kumchoka demu mapema ni jambo dogo tu. Wadada wengi wamebaki na vilio baada ya ndoto zao za kuolewa nami kuishia hewani, naona sana Huruma kwa hili but sijui nifanyaje??

Nimekwama kwa hili, nahisi maisha yangu hayatakua mazuri huko mbeleni. Ninaweza kua Na physchological problem, but sijui hata nilitibuje hili tatizo.
 
Sio hiyo tu, unaongeza idadi ya disappointed souls zitakazoku haunt!

Tulia, kaa chini omba Mungu itakusaidia!
 
tatizo lako haluhusiani na hao wadada...

tatizo lako linahusu wewe mwenyewe na ndoto zako za maisha

ukifika wakati utajikuta tu comfortable ku settle.....na yeyote available utatulia nae..

wewe una issues zako binafsi....zinakuhangaisha...
 
'hit and run' ilikuwa ni misifa ya kizamani sana kabla dunia haijachafuka.... learn to live responsibly
 
unataka kuoa kwa kuangalizia ndugu zako na rafiki zako??? Utamtesa utakaye muoa.

Huwezi chukua likizo ya mahuasiano kwa muda hadi utakapojua unachotaka?
 
lazima una mapepo one of them akiwa pepo la kutotulia lo shindwa mwana kuangaika wewe
 
Ndugu zanguni,
Sifanyi hivi kwa sifa, sisikii raha kabisa kwa huu mwenendo, Na ndio maana nikaja kuomba ushauri hapa.

Tatizo baada ya hiyo miezi 5-7 nakua nishamkinai huyo mwanamke, and any relationship beyond there nitakua najiumiza tu mwenyewe kwa kua na mtu nsiempenda wala kum-feel.

Nahisi labda pengine napokua nafanya selection ya next gf, sifanyi assessment ya kutosha labda
 
mwanamme mbaya wewe,angalau unalitambua tatizo lako,lililobaki ni tiba tu,maybe wapo watu jf watakusaidia
 
Tuliza akili yako baba utajua hitaji lako, ila kabla hujaanza mahusiano na bint kwanza mfanya awe rafiki then ndo muanze uhusiano nae, hayo mambo unayofanya sio mazur sana
 
niko na tatizo km lako but kwa sasa nimeamua kuwa single angalau kwa mwaka mmoja,i blive next relationship nitakayokuwa nayo itadumu zaidi,and my b italeta ndoa.
 
tatizo kuu hapo ni unapenda sana kugonga na hii inasababishwa na hizo porno unazoangaliaga kila siku.....badilika bro wee mtu mzima sasa tafuta mapenzi na siyo ngona tena upte watoto akili itakaa sawa mbona..hayo mambo wwachie youngstar
 
Sikia,, dont rush into dating a woman with expectation ya kuwa labda huyo ndiye utakaye muoa,, utaendelea kuwa disappointed na kumuumiza huyo mdada utakayemdate akijua utamuoa... ni hivi take ur time find urself a friend on platonic basis na ujifunze frm her na kama ukiona hamna so much in common then dont push that relationship forward do that with several girls and i believe eventually u will meet ur match.. And one most important thing Pray about it on daily basis... Good luck
 
Yani tatizo lililopo ni kukinai....ukimpata mpya baada ya miezi 5-7 unakinai kwa maana unataka tena mpya! ingekua haujiskii kuwa na mwanamke kwangu kidogo ingeleta sense, ila wewe ni kwamba unataka kitu kipya! Kwa maana hii sidhani kama una psychological problem, kaka mwili wako umeji-tune kuwa na tamaa flani hivi na kutokua na hali ya kuridhika.

May be chakufanya ni kutulia na kutafakari but just b easy usiwaze sana jiweke sawa na kuwa na moyo wa kuridhika na kile unachokipata then angalia yupi atakae kufaa na anza kuzoeana nae kwa muda mrefu kimahusiano zaidi na sio ki ngono zaidi.

All the best,
 
hahaha wewe kweli una psychological problem na ni kwamba unataka kufuata mkumbo wa society

wewe kijana wangu kwanza kabisa nakusifu kwamba umeweza kuwa open about the issue at hand. sasa wewe naona wapenda sana kupata variety ya K. sasa mwana wewe hao wengine ni maisha yao sasa kama wao wameamua kuoa ama kuolewa ni yao hayo wewe nenda na wat u want. sasa kwa kuwa wapenda K mie nakushauri endelea tuu kuenjoy la msingi tuu ni kutowapa wanawake hao hope ya ndoa. just be true to urself na towards hao wadada waambie kuwa hapa mie nipo kistarehe zaidi so dnt habour any hopes za ndoa.
 
niko na tatizo km lako but kwa sasa nimeamua kuwa single angalau kwa mwaka mmoja,i blive next relationship nitakayokuwa nayo itadumu zaidi,and my b italeta ndoa.

Kaka,
Hilo nkishalifikiria sana.
But single bila kugusa kabisa?
Otherwise ukiacha matatizo yangu, dada zangu pia mnaboa.
Wewe miezi mitano uko hivyohivyo tu, yaani wewe wa leo ndiyo huyo huyo wa Jana na kesho!!
 
hahaha wewe kweli una psychological problem na ni kwamba unataka kufuata mkumbo wa society

wewe kijana wangu kwanza kabisa nakusifu kwamba umeweza kuwa open about the issue at hand. sasa wewe naona wapenda sana kupata variety ya K. sasa mwana wewe hao wengine ni maisha yao sasa kama wao wameamua kuoa ama kuolewa ni yao hayo wewe nenda na wat u want. sasa kwa kuwa wapenda K mie nakushauri endelea tuu kuenjoy la msingi tuu ni kutowapa wanawake hao hope ya ndoa. just be true to urself na towards hao wadada waambie kuwa hapa mie nipo kistarehe zaidi so dnt habour any hopes za ndoa.

Umefika mbali mkuu,
Suala sio K, hizi zinapatikana tu even without relationship ndugu yangu.
Mi nazungumzia mahusiano yenye kuendelea. Wapo ambao sikugusa hata K zao but we ended relationship just because after some few weeks I found no any feelings with them!!
 
Labda ungefafanua. Maana nahisi hapo ndo kuna tatizo hasaaa.


Kaka,
Hilo nkishalifikiria sana.
But single bila kugusa kabisa?
Otherwise ukiacha matatizo yangu, dada zangu pia mnaboa.
Wewe miezi mitano uko hivyohivyo tu, yaani wewe wa leo ndiyo huyo huyo wa Jana na kesho!!
 
Back
Top Bottom