ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
angalia kasi yako, hao wote kama unapiga kavu basi ujue yule ulieachana nae kwanza alikuwa na askari polisi anaitwa James, yeye James alikuwa na mdada mwingine anaitwa Mary, huyu Mary namfahamu alikuwa na Jacob wakati fulani, Jacob ndie Boy friend wake Asha yule uliemwacha miaka minne iliopita, nae alikuwa na John pia, John aliwahi kutembea na yule ulimwacha miaka mitatu iliyopita, nae aliwahi kutembea Hamis, ambae hawakukaa muda mrefu sana, huyu Hamisi alikufa lakini aliacha Girl friend anaitwa Tatu, huyu tatu alikuwa na mahusiano na Ismail ambae aliwahi kutembea na huyo unaesema uliachana nae mwaka jana. na huyo ulienae sasa anatembea na yule Prof JJ anaeishi Makongo Juu ambae anatumika pia na kimada Barmaid pale Kijitonyama na Mwanafunzi wa SAUT ....TULIZANA!!!