wakiristo kutoka bara wamengiza tabia mbaya huko
post ya kwanza na umbea.
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.
Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
maadili ya mwanzo yametoweka kabisa
Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia