Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.

Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
maadili ya mwanzo yametoweka kabisa

Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia
 
Sasa tukusaidiaje? Peleka malalamiko kwa wapiga kura wake
 
he hadi waisilamu tena wa zanzibari siku hizi wanapiga laga?

wanapiga lager kinoma mkuu, halafu wakitoka hapo wanatafuna karafuu kuzima harufu bora ya huyo mheshimiwa amajionesha live kuliko wanafiki wengine wanaojifanya washika dini kumbe ovyo tu
 
wakiristo kutoka bara wamengiza tabia mbaya huko
Kiti moto nani kapeleka znz, oman, turkey. Mohamed alianzaje kuiharamisha? Kwa nini unaendeleza udini? Aliyekufanya kuwa muislam bila kukufundisha uislam ana dhambi kubwa. Ili upone ugonjwa wako tafuta mwanazuoni wa dini ya kiislam.
 
Wazenji wana mitandao ya kijamii humu Jf wapo wachache na mara nyingi huchangia thread za muungano,udini,na za kuiponda CDM na CCM kidogo.
 
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.

Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
maadili ya mwanzo yametoweka kabisa

Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia

Haya ndo madhara makubwa kwa wawakilishi wa CCM hapo akipewa uwaziri awe anatembelea v.8 si mtamkoma huko mchambawima
 
Ningeweza kukuelewa kama ungekuwa na ushahidi acha picha japo tarehe na mahali ingetosha, vinginevyo huu uliopost hapa ni upumbavu amabao JF haipendi kuuona, na kuhusu mtu kubadilika kitabia, ulitegemea tabia ya mtu, hii hubadilika ktokana na vitu vingi, mazingira na hali vikichangia zaidi.
 
Masifa, usitake sifa acha MAJUNGU. Mbona Mh Jumbe alikuwa anakunywa hasa na kuendesha gari hadi kujitengenezea ajali wakati akiwa Makamu wa Rais wa Karume Snr . Lakini Jumbe akaja kuwa Rais makini wa Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Muungano hadi CCM kumuona tishio na kumuweka "kizuizini" hadi leo hatumsikii mwanamapinduzi huyo.
 
Back
Top Bottom