Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake

Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.

Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
maadili ya mwanzo yametoweka kabisa

Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia
MS utawapata wengi wasiokujua.
 
Sasa kwani POMBE ni dhambi??? mwacheni anywe ..maini ni yake mwenyewe.....watu wa Unguja wanaafiki sana kuita wenzenu walevi wakati wengine mna mabaya kuliko hayo ya walevi...serikali yenyewe inategemea kodi ya walevi.......kama ni maendeleo mbunge wenu ndio anachangia hasaa kuliko hao wala kashata kwani kila bia moja anayokunywa au kununulia watu hapo gymkhana au ccm ,bar anachangia kodi hazina shilingi 500...peleka fitna za hivi kule mzalendo net....
 
jumbe sio mlevi. pombe ya mwanzo imetengenzwa mara na kuingizwa sokoni dar

JUmbe alikuwa mlevi mbwa ...rafiki yangu mmoja aliwekwa kumlinda ..alikuwa akinywa sana pombe kali ..hadi analala..hakuwa na tofauti na Obote kwa ulevi.....huku kuswali kwa sana ameanza baada ya kufungwa jela maisha pale mjimwema....ndio akajigeuza hero wa dini,.....

Mtu ambaye sio mnywaji toka zamani ni mzee Mwinyi ....ukiachilia kidogo mapenzi yake kwa mabinti..[tena kawaida sana ..hakuwa muhuni]...Karume sr..another friend of mine ameshawahi kuwa kwenye detail yake ...alikuwa hadi akila nguruwe....na hata wanawe [sina uhakika na nguruwe] lakini wanakunywa sana Pombe kali.....
 
Wewe Malaria sugu umeanza kumpigia kampeni Bakari Membe mapema namna hiii..huyu JOKA la mdimu mpaka CREAM atakuwa rais wa nani ...labda wa mashoga wenzie..
 
sasa jamani kama wakati huo hakuweza kunywa hakuwa na hela sasa afanyaje.mwache anywe ilimradi atakeleze ahadi zake
 
Kitimoto wamekilita wakiristo, waislam wakapigwa marufuku. uislam unakaza kitimoto kwa kuwa kinamaradhi kwa afya ya binaadamu wotev hata wakiristo.
Kiti moto ni adui wa majini ndio maana kinakatazwa...

Chadema wakipinga posho mnasema hela ya posho wanapewa ombaomba kumbe ni kwa ajili ya kupigia kilaji. Huyu kijana fisadi sana, aliwahi kufanya ufisadi hata wa umri. Kwa ulevi huo huenda hata ufirauni anaufanya. na watoto wa Zenji wanavyopenda kule atawamaliza..
 
bora ya hao wanakunywa je hao wanao kunywa wanajificha pale kibanda maiti alafu wanakula na nguruwe

wanafki wakubwa hawa!! Kule kwenye messi za jeshi wanafata nini kama siyo kiu yao ya asili ya ulevi? Na vipi mihadarati hata wanawake vikongwe wako juu kwa mihadarati znz puuh!!
 
Here we dare to talk openly rather than majunguzi.......mtaje tumchane live....mbaya zaidi anatoka chama kinachojari kuwakmua watz badala ya kuwasaidia...chama cha posho yaani ccm ya kifisadi....hebu mtaje tumchane chane hapa
 
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini. maadili ya mwanzo yametoweka kabisaNi mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia
bora huyo anaeanguka,vipi wanaolala mjengoni?
 
Kiti moto ni adui wa majini ndio maana kinakatazwa...

Chadema wakipinga posho mnasema hela ya posho wanapewa ombaomba kumbe ni kwa ajili ya kupigia kilaji. Huyu kijana fisadi sana, aliwahi kufanya ufisadi hata wa umri. Kwa ulevi huo huenda hata ufirauni anaufanya. na watoto wa Zenji wanavyopenda kule atawamaliza..

aLIYEDANGANYA UMRI NI MASAUNI..MIMI SIPO....NA LA KUANGUKA SIJUI MAANA HATA LONDON ALIKUWA AKIANGUKA "WASAMARIA WEMA " "WANAMUOKOTA",,..NA KUMPELEKA KULA UBWABWA...ALIKUWA AKIUPENDA SANA UBWABWA KILA AKILEWA KAMA ILIVYO ASILI YA HUKO...
 
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.

Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
maadili ya mwanzo yametoweka kabisa

Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia
Acha fitina za uitikadi weka vyanzo na picha!!
 
Back
Top Bottom