Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
ipo sokoine chuo kikuu
Kwa ajili ya maonyesho ya nane nane tu?
ipo sokoine chuo kikuu
swali ni kwamba tunapataje hiyo mbegu na sisi tupande?

Wajameni seriously natafuta hii mbegu mwenye uhakika na upatikanaji wake anijuze.
inachukua muda gani mpaka nile embe......?
Ngoja na mimi nichangie kidogo hapa, kwa wanaohitaji serious naweza kuwasaidia cha kufanya, kwanza kuna aina tano za embe za jinsi hii zinazozaa vizuri ukanda wa mkoa wa Pwani/Dar/Moro, hizi ni kent, Red indian,Alfonso, Apple mango, ya tano nimesahau kidogo. Kwa hiyo ni muhimu kujua unataka aina ipi.
Kwa walioko Dsm mitaa ya mikocheni, kipo kitalu cha uhakika,kwa maana ya no chakachua, ukihitaji ni-PM nikupe maelezo. Pale SUA yupo rafiki yangu ambaye mimi nimechukua kwake mara kadhaa, naweza kukusaidia. Bagamoyo pia kipo kitalu cha kuaminika. Hawa wa mitaani kama pale Yenu Bar Ubungo, wanaweza kukuuzia aina moja tu, na yenyewe ikawa feki.
Tahadhali,miche hii ni dhaifu sana siku za mwanzo,inahitaji uangalizi sana,tumia mbolea ya kutosha,sio ya kuku. Naomba niishie hapa niwahi lunch.