microsoft office

moko

Member
Apr 9, 2011
57
2
je kuna uwezekano wakuweka(install) microsoft mbili kwenye laptop na zikafanya kazi?mfano 2003 na 2007?
wadau hebu nipe akili hapo na pia nikiidownload italeta shida?manake nina 2003 nataka niwdownload 2007
 
Hakuna shida yeyote... kwa kuwa una Office 2003 wakati wa kuweka 2007, click Customize halafu chagua (keep the previous )kama sikosei yaani isibadilishe chochote kwenye office iliyopo... ikimaliza utakuwa na Ms Office 2

kama utadownload hiyo 2007 uwe na serial zake kabisa.....
 
Hakuna kitu kama hicho microsoft ni wajanja sana,ni kama vile unataka ufunge os mbili kwenye mashine moja yaani una windows vista unataka uongeze na windows seven unafikiri nini kitafanyika hapo?
 
Inawezekana sana mimi nimesha install na nikatumia hamna tatizo lolote. Ila ukishusha sizani kama utapata key labda uombe cd.
 
Hakuna kitu kama hicho microsoft ni wajanja sana,ni kama vile unataka ufunge os mbili kwenye mashine moja yaani una windows vista unataka uongeze na windows seven unafikiri nini kitafanyika hapo?

Mkuu. inawezekana kabisa hadi unaweza kuweka NS office 4 kwenye computer yako ni uwezo wa mashine yako tu microsoft wameweka option kabisa ya ku-upgrade au kuibakisha ya hawali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom