Microsoft Office 2010 activation

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Heshima mbele wakuu!

Natumia window 2010, kuna wakati nilitaka kuweka program fulani technician aliporudisha Window ikagoma ku activate

Naomba msaada wa kuactivate window 2010
 
mbona mimi siijui hio window ipoje? Najua window 7, vista xp za hivi karibuni

Au unamaanisha microsoft office 2010
 
Heshima mbele wakuu!

Natumia window 2010, kuna wakati nilitaka kuweka program fulani technician aliporudisha Window ikagoma ku activate

Naomba msaada wa kuactivate window 2010

I'm sure unamaanisha microsoft office 2010, ni PM mail adress yako nkutumie activator yake
 
window 2010, hii umeipata wapi?
manake window 8 ndio kwaanza ipo kwenye hatua za mwonzo kutoka, sasa kama ikienda in series, itafuata window 9, sasa hii window 2010 duh, usiwe mbishi, hii ni ms ofice 2010,
wadau mpeni msaada tu manake anachouliza ni tofauti na hali halisi ila jibu ndio hilo hilo la ms office 2010 activator
 
Back
Top Bottom