MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Katika hali ambayo hakutegemewa kwa mwanablog Issa Michuzi kunyima uzito tukio lla waandishi walipoandamana kulekea jagwani.

Sasa hivi ni saa 9.30 mchana hawezekani kuwa amashidwa kuweka tukio zima badala yake tukio lililotokea sa 7 mchana kwa Mh Lowassa kukabidhi madawati kwa shule ya Kipawa.

12.jpg

Je Michuzi huu ndo uzalendo wa kweli?

Source: MICHUZI
 
huyo sio mwandishi bali anatafuta maisha kupitia uandishi, ie. yupo kimaslahi zaidi. ipo siku.
 
dr kupenge kwa phd yako hujamfahamu tu Michuzi
camera yake ipo kulinda maslahi ya chama kimoja tu
kwake yeye suala la kuandamana leo sio habari na sidhani kama kashiriki
 
Usimshangae hao ndio wale wale wanaowalamba mafisadi miguu! Ngoja niishie hapa nisije kupata ban bure
 
Michuzi ni mwandishi wa Serikali mpiga picha na kwa sasa anafanyia kazi matukio ya Ikulu!!!!! Ni mtu wa karibu sana na serikal inayotuhumiwa kuua!!! Na anategemea japo Ukuu wa Wilaya!!! Kwa mantiki hii hataweza kushiriki. Kwani hamkushangaa hata tukio la kuuawa kwa Mwangosi hakulipa uzito uliostahili. Cross your fingers now!!! Hata mm nimepita huko blog yake sikuona kitu mzee wa DILDO!! (Nani mwenye ile picha aliyobeba DILDO la mpingo aweke hapa).
 
Huyo si ni mchumia tumbo wa ikulu, sio professional journalist kwa hiyo hana taaluma hiyo ataunganaje na wanataaluma. Yeye ni wa kubebwa angekuwa mwanataaluma angejiamini. Poor Michuzi
 
Michuzi ni mwandishi wa Serikali mpiga picha na kwa sasa anafanyia kazi matukio ya Ikulu!!!!! Ni mtu wa karibu sana na serikal inayotuhumiwa kuua!!! Na anategemea japo Ukuu wa Wilaya!!! Kwa mantiki hii hataweza kushiriki. Kwani hamkushangaa hata tukio la kuuawa kwa Mwangosi hakulipa uzito uliostahili. Cross your fingers now!!! Hata mm nimepita huko blog yake sikuona kitu mzee wa DILDO!! (Nani mwenye ile picha aliyobeba DILDO la mpingo aweke hapa).

STA70161-1.jpg
 
Back
Top Bottom