Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Sep 11, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika hali ambayo hakutegemewa kwa mwanablog Issa Michuzi kunyima uzito tukio lla waandishi walipoandamana kulekea jagwani.

  Sasa hivi ni saa 9.30 mchana hawezekani kuwa amashidwa kuweka tukio zima badala yake tukio lililotokea sa 7 mchana kwa Mh Lowassa kukabidhi madawati kwa shule ya Kipawa.

  [​IMG]

  Je Michuzi huu ndo uzalendo wa kweli?

  Source: MICHUZI
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 19,763
  Likes Received: 1,874
  Trophy Points: 280
  Michuzi sio mwandishi
   
 3. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dr. tumia historia kuelewa watu.
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,457
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Akiripoti maandamano atakula wapi
   
 5. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Michuzi na JK wametoka mbali wewe ulitaka hale wapi? Michuzi VS JK.jpg
   
 6. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 915
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  "Picha hizi ni Mujibu wa Ikulu" tafakari
   
 7. C

  Cupid 50mg Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh ni mpiga picha wa kitaa.
   
 8. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,837
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  huyo sio mwandishi bali anatafuta maisha kupitia uandishi, ie. yupo kimaslahi zaidi. ipo siku.
   
 9. s

  sawabho JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,121
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Wewe hutaki U-DC ?
   
 10. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Michuzi si anakula ikulu unategemea nini hapo?????
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,981
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  dr kupenge kwa phd yako hujamfahamu tu Michuzi
  camera yake ipo kulinda maslahi ya chama kimoja tu
  kwake yeye suala la kuandamana leo sio habari na sidhani kama kashiriki
   
 12. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Usimshangae hao ndio wale wale wanaowalamba mafisadi miguu! Ngoja niishie hapa nisije kupata ban bure
   
 13. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,932
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mchuzi siyo mboga
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,466
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Michuzi ni mwandishi wa Serikali mpiga picha na kwa sasa anafanyia kazi matukio ya Ikulu!!!!! Ni mtu wa karibu sana na serikal inayotuhumiwa kuua!!! Na anategemea japo Ukuu wa Wilaya!!! Kwa mantiki hii hataweza kushiriki. Kwani hamkushangaa hata tukio la kuuawa kwa Mwangosi hakulipa uzito uliostahili. Cross your fingers now!!! Hata mm nimepita huko blog yake sikuona kitu mzee wa DILDO!! (Nani mwenye ile picha aliyobeba DILDO la mpingo aweke hapa).
   
 15. E

  ESAM JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Huyo si ni mchumia tumbo wa ikulu, sio professional journalist kwa hiyo hana taaluma hiyo ataunganaje na wanataaluma. Yeye ni wa kubebwa angekuwa mwanataaluma angejiamini. Poor Michuzi
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 19,763
  Likes Received: 1,874
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,543
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Everybody is entitled to have their opinions on several matters.
   
 18. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,543
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Michuzi ni gamba
   
 19. mpiganaji jm

  mpiganaji jm Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  may b ana yachakachua kwanza............. ivi tbccm wata onyesha haya matukio
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,330
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  Wamekatazwa hata Mkurugenzi mkuu anakumbuka namna Tido mhando alivyopoteza nafasi yake ya kula bata pale Tbccm
   
Loading...