Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Mar 20, 2012 #21 huko ni angola,and in hand is the only kind of toys they have
S Spear_ JF-Expert Member Dec 29, 2010 1,603 486 Mar 21, 2012 Thread starter #22 Bushbaby said: Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... MpigaKelele said: Unamshukuru Mungu wako kwa kukupa hekima ya kulea mtoto wako vizuri, kwa kiasi fulani unagundua kuwa hauhusiki kuzalisha MAJAMBAZI. Click to expand... Je ungekuta ndiye kashika Panga?....
Bushbaby said: Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... MpigaKelele said: Unamshukuru Mungu wako kwa kukupa hekima ya kulea mtoto wako vizuri, kwa kiasi fulani unagundua kuwa hauhusiki kuzalisha MAJAMBAZI. Click to expand... Je ungekuta ndiye kashika Panga?....
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Mar 21, 2012 #23 Bushbaby said: View attachment 49498 Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... hawa watakuwa ni mazalia ya vita yaani wamezaliwa vitani..
Bushbaby said: View attachment 49498 Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... hawa watakuwa ni mazalia ya vita yaani wamezaliwa vitani..
ALLEX JF-Expert Member Mar 15, 2011 2,006 343 Mar 21, 2012 #24 bushbaby said: View attachment 49498 ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... wanasema samaki mkunje angali mbichi.. Mnapoambiwa al-shabab wapo nchini msidhanie wote wana sharubu kama kambale.. Ndiyo mambo kama hayo// sasa mtoto kashika panga baba atashika nini???
bushbaby said: View attachment 49498 ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje? Click to expand... wanasema samaki mkunje angali mbichi.. Mnapoambiwa al-shabab wapo nchini msidhanie wote wana sharubu kama kambale.. Ndiyo mambo kama hayo// sasa mtoto kashika panga baba atashika nini???
Idimi JF-Expert Member Mar 18, 2007 14,970 10,463 Mar 21, 2012 #25 (Mwenye panga) Jambazi in the making....aaarrrrgh. Mambo ya movie za akina Rambo hayo